yes.umeuliza vizuri sana hao chama cha kijani wao wametetea vipi?serikali mmeikabidhi kwa chama chenye rangi ya mbogamboga sasa wadaini wao si ndo wameshika mpini?chadema haidhoofishwi kwa hoja dhaifuDa! haya mambo yanachanganya sana.
Labda kwa tuangalie kwa upande wa pili, vipi wabunge wa CCM na vyama vingine hawajatuangusha?
Huu utegemezi wa CHADEMA kwenye kila kitu utatupeleka pabaya, kuna siku mtu atapigwa na mke wake alafu asubiri CDM ije imtetee,kama we ni mfanyakazi ni wakati wako wakuonyesha kwamba hukubaliani na hili swala. Chadema wakisema tufanye maandamano ya amani kupinga huu unyonyaji, nyie ndio wa kwanza kusema hiki ni chama cha wapenda vurugu, kwa hiyo subirini hivyo hivyo.
My take:
Nani atakukomboa mwaka huu? Je utaisubiri CHADEMA?
mkuu nakuunga mkono.hawa akina MGAYA NI WACHUMIA TUMBO WA KUTUPWA HAWATUFAI Kwa lolote.Vyama vyetu vya wafanyakazi ndio bure kabisa. Hebu angalia chama cha wafanyakazi cha Afrika Kusini! Kina-influence hata ya kumpata rais wa nchi. Sisi vyama vyetu mabuda buda tu. Tuunde chama kingine cha wafanyakazi. wanachukua hela za wafanyakazi kula tu, hawatoi miongozo yoyote. Waliitwa kwenye utunzi wa hii sheria, wakapewa allowance ya kikao wakatulia wakapitisha, sasa tunalia. Kikwete akiwatisha tu wanayeyuka. Napendekeza Dr. Ulimboka akirudi tufanye kikao na kada zote za wafanyakazi tuanzishe chama tofauti na hivi tulivyo navyo. Ikiwezekana COTU tuifumui kabisa. Tunahitaji mabadiliko.
mkuu kumbe na wewe umeona eeh? hawa ccm tulishajua hawatusaidii kwa lolote.kazi ni ishabiki tu wa ndio mzee.lakini chadema japokuwa ni wa chache lakini sauti yenu watanzania wanaisikia sana tena bila chenga katkkati ya misauti ya ndioooo... hivyo ndio kusema hamjatetea vya kutosha.hamjapaza sauti yenu.labda kama ni kweli hicho kipengele hakikuwepo kama anavyosema edson.otherwise chadema mna kesi ya kujibu kwa wafanyaki.Please cant you do somethkng??? come on MNYIKA.ZITO.TUNDU LISSU..ETALkwa vyovyote vile chadema na chama cha wafanya kazi tunawategemea watuongozi juu ya hii sheria ya kijinga yaani mpaka sasa siamini kama ilipita bungeni..
Sina hakika kama unakielewa unachokisema!!!!!
Hivi siku zote unadhani Chadema wapo kwa ajili ya kusaidia wananchi hawa Chadema wapo kwa ajili ya maslahi yao binafsi.
Kama hufuatilii bunge ni bora ukakaa kimya au kuomba taarifa kwa walizonazo. Binafsi ninakumbuka kuwa Halima Mdee na wenzake walipingana sana na hoja zilizokuwa zinapigiwa chapuo na Werema ktk kikao cha mwezi Aprili lakini ilishindikana kutokana na uchache wao bungeni. Acha kutoa judgement kama huna uhakika na hoja unayojenga, omba kwanza taarifa wenye nazo watakupatia.Ndugu zangu wana jf,nimeshangazwa sana na kusikitishwa sana na sheria mpya ya SSRA juu ya mafao ya wafanyakaZI,NIMESIKITISHWA SANA NA WABUNGE AMBAL TUNAWAONA KAMA WATETEZI WETU KUPITISHA SHERIA HII KIMYA KIMYA WAKIJUA KUWA WAO HAIWAATHIRI... NA KWAKWELI HAPA NAMAANISHA WABUNGE WA UPINZANI HASA HASA CHADEMAA, Hapa namaanisha akina ZITO,MNYIKA,TUNDU,MBOWE.MDEE.etal...
SISEMI KUWA MNA UAMUZI WA KUIZUIA MAANA HAIWEZEKANI MAANA WA NDIOOO wengi lakini angalau mngepaza sauti tungewawikia. Lakini kwa sasa mtawaambia nini wa Tz?
I must admit,i am utterly disappointed with you guys... you havent done your home work properly..
huu ujinga kwanza sisi wenye pesa zetu lazima tuwe na nguvu na mamlaka juu ya pesa zetu kuliko hawa watu sababu hizo pesa ni jasho letu liwalo na liwe