MISULI
JF-Expert Member
- Jan 15, 2014
- 7,826
- 5,451
Kwanini Kenya tu na sio nchi zingine?nakumbuka kuna watanzania walifukuzwa huko msumbiji lkn Tanzania ilihandle hili jambo vizur na uhusiano wetu uko poa. Naona mahusiano ya Kenya na nchi zingine za EAC hayako poa sana. Na ukichek Tanzania inaiva vizur sana na nchi zote za EAC Kasoro Kenya. Kwanini?