Kilichofanywa na Serikali ya Kenya siyo Tusi la Kidiplomasia kwa Serikali ya Tanzania?

Wamezoea mipasho na ubabe na matamko yasiyokua na tija
Kenya wako vizuri kila sekta ..ni odinga tu anajaribu kutia doa nchi ya kenya lakini kenya they are very smart na educated ...huku kwetu mtu ni educated kwa makaratasi na vyeti tu lakin akili hamna ...
Eti leo hii unaweza kumfananisha museven na nyerere ..? What nonsense!

100% Precisely Mkuu. Hata Mimi nilishtuka sana na kuona aibu kubwa pale niliposikia Mzee Rais Museveni leo hii anafananishwa na Hayati Baba wa Taifa Nyerere. Hivi Mchezaji Nguli wa zamani Pele wa Brazil leo hii anaweza kufananishwa / kulinganishwa na Juma Nyosso wa Tanzania? Hivi ni kwanini tumefikia sasa hatua ya kumdhalilisha Hayati Nyerere hivi?

Najua na nayatambua sana mafanikio makubwa ya Rais Museveni kwa nchi ya Uganda tokea alipoingia madarakani mwaka 1986 ila nikimtathmini na kumchambua Kiuongozi, Kitabia na Kinidhamu hajafikia hata 25% tu ya Hayati Baba wa Taifa Nyerere nikajiuliza huyo aliyesema Museveni ni kama Nyerere alitumia Vigezo gani / vipi kuhalalisha hilo ambavyo labda Mimi GENTAMYCINE sivijui au sivifahamu?

Ungesema kwamba Museveni anaenda kuwa Charles Taylor wa Liberia ningekubaliana nawe kwa 100%. Mkuu vitu vingine vinatia hasira halafu najijua mwenyewe hasira zangu zilivyom jirani hivyo ngoja ninyamaze tu nisije nikamdharau Mtu humu halafu nikajikuta namkufuru bure Mwenyezi Mungu wangu Mungu wa Ibrahim, Isaka na Yakobo.

Na nahisi kuwa Watu ni Watanzania wenzetu humu humu pamoja na Usomi na Uzee / Uhenga wao bado hawamjui vizuri Hayati Baba wa Taifa Nyerere. Yaani leo hii kweli Museveni anafananishwa na Nyerere kweli? Huyu Mtu yupo serious kweli? Mkuu bora hata usingelileta hili kwani umeshanipandisha tayari temper yangu.
 
Hilo tusi limrudie aliyelisababisha kama reflected light from every Tanzanian. Hivyo,hilo tusi liwe replicated 50m + kwenda kuwa absorbed kwa huyo "black body" anayestahili. Hatuwezi kubeba matusi ya mtu mmoja
Matusi yangekuwa yanaua basi Donald Trump angekuwa kaburini hivi sasa.

Matusi yangekuwa yanaua Mwalimu Nyerere angekufa mapema kabisa, na leo hii asingepewa heshima anayopewa!.

Matusi yangekuwa yanaua wewe usingefikia kuwa mtu mwenye umri ulionao sasa, ungekufa wakati ule unaishi kwa kutegemea maziwa ya Mama mzazi.

Badilikeni na muanze kufikiria kama watu wenye kujitambua.
 
GENTAMYCINE ,

Duuuuuuh ,

Mkuu, shikamooooooooo!!

Mimi nilikuwa naota mkuu, hivyo usichukulie serious kiivyo.

Bado nipo kitandani nimelala , naendelea kuota.

Endelea tu Kuota Mkuu ila nakupa assignment ndogo sana naomba ukiamka tu jaribu kulifanyia Utafiti wako Kabila la Wazanaki, Watu wake wapoje na wana vitu gani adimu bila kusahau wana tunu / shani gani ambayo wamejaaliwa / wamebarikiwa nayo na Mwenyezi Mungu.

Kumbe mwenzetu umelala usingizi halafu hapo hapo tena unaweza ku type humu JF? Ama kweli Wanafiki huwa hamjifichi. Najua uko Kitengo hivyo wafikishie taarifa hapo kwamba misimamo yangu humu siku zote itakuwa ni 50/50 na kama watapenda pia kuniwahisha ahera Kuume kwa Baba Mungu mapema nitawashukuru kwani nimemmisi mno Babu Hayati Mwalimu Nyerere.

Mnaacha kumsaidia Bosi wenu / Bwana mkubwa ili asiingie matatizoni mnabaki tu kumpamba, kumsifu na kuwatishia akina GENTAMYCINE ambao pengine mawazo yao yangekuwa yanachukuliwa vizuri na kufanyiwa Kazi labda nchi yetu leo ingekuwa mbali mno katika nyanja mbalimbali za Kimaendeleo.

Unafiki na Kujipendekeza kwa tamaa za Madaraka au Pesa Kwangu ni mwiko Mkuu na sitobadilika. Mtu pekee ninayemheshimu na ambaye labda mpaka sasa najichangachanga nimtafutie Zawadi ni JF Founder Maxence Melo ( Mtani wangu ) na Team yake yote ya JamiiForums hasa kwa kuamua kutuletea hii Forums nzuri ambayo hata akina sisi GENTAMYCINE tunaweza kutoa humu mawazo yetu mazuri.

Mwisho nikuombe tu kwamba baada ya wao kukutuma uje ufanye counter Kwangu na Wewe pia nakutuma sasa kwamba rudi kawaambie kwamba wajitahidi tu kila siku angalau hata tu kutenga muda wao na kupitia mabandiko yanayoandikwa humu JamiiForums kwani naamini kama wangekuwa wanayafuata na kuyafanyia Kazi leo tusingekuwa tunadharauliwa, kuchekwa hivi na kuonekana wote ni wa hovyo hovyo mbele ya Watu wenye akili zao timamu.

Usingizi mwema!
 
Nani ametukana? Aliyetukana kidiplomasia ni Wakenya. Wakubadilika ni anayesababisha matusi. Mchokozi ndiye anayetukanwa. Akina Nyerere walitukanwa kwa kufanya mambo ya msingi kipindi kile. Sasa huyu anayefanya vitu vya mwaka 1964 atusababishie matusi ya mwaka 2017?
Matusi yangekuwa yanaua basi Donald Trump angekuwa kaburini hivi sasa.

Matusi yangekuwa yanaua Mwalimu Nyerere angekufa mapema kabisa, na leo hii asingepewa heshima anayopewa!.

Matusi yangekuwa yanaua wewe usingefikia kuwa mtu mwenye umri ulionao sasa, ungekufa wakati ule unaishi kwa kutegemea maziwa ya Mama mzazi.

Badilikeni na muanze kufikiria kama watu wenye kujitambua.
?
 
Hao wakenya wakwende zao walituona maboya kwa kipindi kirefu sana waambie wakiingiza ng ombe nyingine tunazichoma moto, na si mifugo tu chochote kitakachoingia bila kufata sheria tunapita nacho
 
Nani ametukana? Aliyetukana kidiplomasia ni Wakenya. Wakubadilika ni anayesababisha matusi. Mchokozi ndiye anayetukanwa. Akina Nyerere walitukanwa kwa kufanya mambo ya msingi kipindi kile. Sasa huyu anayefanya vitu vya mwaka 1964 atusababishie matusi ya mwaka 2017?

?
Hao Wakenya wasikuumize kichwa, maisha ya mazoea hayapo tena. Haiwezekani ng'ombe na mifugo mingine iwe inazurura hovyo, kisa ujirani mwema.

Haiwezekani mtu awe anatumia nguvu nyingi kwenye kulima shamba halafu mwingine apitishe tu ng'ombe au mbuzi wake bila hata ya kuona uchungu kwenye kazi nzito iliyofanyika kwenye kilimo!

Matusi hayaui, matusi ni maneno tu ambayo wakati mwingine hupotelea hewani. Cha muhimu ni kuwafundisha adabu hao majirani, kwa kuwaonyesha kwamba jana sio leo na leo sio kesho, waje kwa adabu na sio kwa tabia za mazoea kama miaka iliyopita, walivyozoea kuishi
 
GENTAMYCINE ,

Mkuu, wewe endelea tu kutema nyongo ila hakikisha kuwa una ujamaa wa karibu na Nissan Nyeupe zote!

La sivyo ,,,, pambio la parapanda italia parapanda *3 linaweza likasikika katika viunga vya kayani kwako.

Huwa Napenda kukupa " like" ila hapa naogopa mkuu Nissan isije ikakosea njia ikafika kwangu.

Sikutishi mkuu, bali nawaza kwa sauti.
Na mimi sikupi like ila umenichekesha na hizo parapanda x 3. Genta hawezekani kwanza ana binti nadhani sasa ana miaka 15 hivyo genta anamiliki bunduki regally kumlinda binti yake. Huyu ni mtu wa Mara hivyo hakosi nchale.
 
Huku nyuma kuna Mtu mmoja aliwahi kuniambia kwamba ni kheri Mtu akakupiga tu Ngumi ya moja kwa moja au Kukutukana tu Tusi la moja kwa moja ujue moja kuliko kuyafanya yote mawili katika mwamvuli wa lugha ya Kidiplomasia kwani yanauma, yanaumiza na maumivu yake huwa ni ya muda mrefu pia.

Akaenda mbele na kuniambia kwamba hakuna kitu kibaya duniani kama pale Wewe unayejiona ni Mbabe au Mkorofi halafu ukamchokoza Mtu ambaye pengine unadhani ni dhaifu Kwako ukiwa na mategemeo makubwa kwamba na Yeye atakurudishia vile vile ili upate chanzo cha Kumdhuru halafu Yeye ( uliyemchokoza ) badala ya kukujibu kwa Shari / Ugomvi badala yake anakujibu kwa Hekima na Busara kwani hilo huwa ni tusi kubwa na baya mno la Kidiplomasia.

Yawezekana Serikali ya Kenya imebobea sana katika matusi ya Kidiplomasia kwani ama hakika kwa Vitendo vya siku za karibuni ambavyo vimefanywa na Serikali ya Tanzania dhidi ya Mifugo na Bidhaa za Kenya usingetegemea kama Wakenya wange hundle hii situation in a diplomatic manner like this badala yake sasa inaonekana kabisa kwamba Serikali ya Tanzania ndiyo imepata aibu na imetukanwa vibaya mno Kidiplomasia.

Vitendo vya Kuwafidia Wafugaji waliopoteza Mifugo yao huku mpaka sasa wakifanya mazungumzo ya kurudisha zile Ng'ombe kadhaa kutoka Tanzania zilizokamatwa katika ardhi yao tofauti na ambavyo Sisi tumefanya kama kutaifisha Mifugo yao na hata Kuchoma moto hadharani ni Tusi la Kutukuka si tu kwa Serikali ya Tanzania bali na kwa Watanzania wote.

Mwisho nimalizie kwa kusema tu kwamba kama Wabobezi wa Diplomasia nchini Tanzania hawatashtuka na kuamka ili kuliingilia hili kati kuna hatari kila siku tukaendelea Kutukanwa Kidiplomasia na si tu Wakenya bali hata Mataifa mengine ambayo yanajielewa. Serikali ya sasa ya Tanzania ipitie upya aina ya Diplomasia yake na isione pia shida / tabu kuomba ushauri kwa Baba wa Diplomasia nchini Tanzania Rais mstaafu wa awamu ya Nne Mzee Jakaya Mrisho Kikwete.

Kosa la Mtu mmoja linatusababishia Watanzania wote katika macho ya Kimataifa tunaonekana ni wa hovyo hovyo. Hapana hili halikubaliki na huyu Mhusika ikiwezekana afundishwe jinsi ya kuishi na Watu hasa Majirani na kuheshimu Uhusiano wa muda mrefu wa Kidiplomasia wa Tanzania na nchi zingine kwani Tanzania siyo Kisiwa na ipo siku hawa hawa ambao leo tunawachokoza tutawahitaji kwa namna moja au nyingine. Namwomba abadilike upesi sana na ikiwezekana hata huu uzi wangu apewe wote kama ulivyo ausome ili ayajue mapema mapungufu yake Kimataifa. Tumechoka and We need peace in East Africa please!!!!!!!

GENTAMYCINE ni kama Bahari ambayo siku zote huwa haikai na uchafu halafu sijazoe Unafiki bali nanyoosha tu hata kama ni Kipenzi changu au ni Adui yangu.

Nawasilisha.
Hujui chochote unasukumwa na uchandimu
 
Wamejibu vizuri sana.
Huyu raisi wetu Dkt luis shika magufuli ni janga la kitaifa
Hilo tusi limrudie aliyelisababisha kama reflected light from every Tanzanian. Hivyo,hilo tusi liwe replicated 50m + kwenda kuwa absorbed kwa huyo "black body" anayestahili. Hatuwezi kubeba matusi ya mtu mmoja
Wamezoea mipasho na ubabe na matamko yasiyokua na tija
Kenya wako vizuri kila sekta ..ni odinga tu anajaribu kutia doa nchi ya kenya lakini kenya they are very smart na educated ...huku kwetu mtu ni educated kwa makaratasi na vyeti tu lakin akili hamna ...
Eti leo hii unaweza kumfananisha museven na nyerere ..? What nonsense!
Tunapata aibu sana!
Shida ni kuwa Kitu kinafanywa na jitu moja lenye roho mbaya alafu lawama zinatumwa kwa taifa zima.....sasa hivi wakenya hawasemi flani ni katili na ana roho mbaya bali wanasema Watanzania ni makatili na ina roho mbaya....

Hata mie Sir Mweli wa watu spendagi unafki

Dah! waTZ! Binafsi naona aibu kusoma message zenu. Munatia aibu kwa kutojitambua na kujikuta mukimwaga misifa kwa walioshindwa hata kuheshimiana kikabila. Yaani munategemea heshima ya nchi kwa kuruhusu ng'ombe washibe ndani ya mipaka yetu? Ngombe!! Miaka yote jamaa hawa huieleza TZ kama nchi ya waliozubaa, kwa sababu tu hatuna udokozi kama wao. Nitawasaidia lakini, naomba kwa haraka sana nipeni umri wenu na elimu yenu ninyi wafuatao:
Kkimondoa
pureView Zeiss
pepsin
pem
lukesam
sir mweli
 
Nadhani jamaa amezaliwa ikulu na amekulia huko pia ana exposure nyingi duniani. Ni muda tu atamrudisha kwenye line kama wale wa makinikia.
 
Kama ndivyo ilivyo nosense ianzie kwa wale walio muweka Museveni hapo Uganda tena tuna ambiwia walipewa na zawadi za ankole. Baadhi ya Watanzania kila uchao wanazidi kuwa wapuuzi

Wamezoea mipasho na ubabe na matamko yasiyokua na tija
Kenya wako vizuri kila sekta ..ni odinga tu anajaribu kutia doa nchi ya kenya lakini kenya they are very smart na educated ...huku kwetu mtu ni educated kwa makaratasi na vyeti tu lakin akili hamna ...
Eti leo hii unaweza kumfananisha museven na nyerere ..? What nonsense!
 
Kwa miaka Kenya waliwaona Watanzania kama wapiga domo bila matendo ndio sababu wakageuza Tanzania kuwa shamba la kuchunga mifugo yao. Kuanzia sasa watajua Watanzania wanaweza kutenda, nchi ina mipaka ambayo ni lazima iheshimiwe vinginevyo waongeze bajeti ya kufidia wafugaji waao.

Hoja kwamba fidia ni matusi ya kidplomasia naona ni mzaha, kwangu mimi hiyo ni sawa na kukubali kukubali kuwa walijua wafugaji wao wanvusha mifugo kwenda nchi nyingine bila utaratibu maalum na kwa sababu hawakufanya chochote sasa wafidie kwa kosa la kutowapa ELIMU ya kuheshimu mipaka.Next term, wapige hodi kabla hajaingia kwenye nyumba za watu otherwise wawe tayari kwa lolote watakalokutana nalo. Tanzania mpya!
Naomba pia uongelee japo kidogo ng'ombe 4000 za Watanzania zilizokatwa Kenya, na mazungumzo ya kidiplomasia juu ya namna ya kuzirudisha yanaendelea.
 
Endelea tu Kuota Mkuu ila nakupa assignment ndogo sana naomba ukiamka tu jaribu kulifanyia Utafiti wako Kabila la Wazanaki, Watu wake wapoje na wana vitu gani adimu bila kusahau wana tunu / shani gani ambayo wamejaaliwa / wamebarikiwa nayo na Mwenyezi Mungu.

Kumbe mwenzetu umelala usingizi halafu hapo hapo tena unaweza ku type humu JF? Ama kweli Wanafiki huwa hamjifichi. Najua uko Kitengo hivyo wafikishie taarifa hapo kwamba misimamo yangu humu siku zote itakuwa ni 50/50 na kama watapenda pia kuniwahisha ahera Kuume kwa Baba Mungu mapema nitawashukuru kwani nimemmisi mno Babu Hayati Mwalimu Nyerere.

Mnaacha kumsaidia Bosi wenu / Bwana mkubwa ili asiingie matatizoni mnabaki tu kumpamba, kumsifu na kuwatishia akina GENTAMYCINE ambao pengine mawazo yao yangekuwa yanachukuliwa vizuri na kufanyiwa Kazi labda nchi yetu leo ingekuwa mbali mno katika nyanja mbalimbali za Kimaendeleo.

Unafiki na Kujipendekeza kwa tamaa za Madaraka au Pesa Kwangu ni mwiko Mkuu na sitobadilika. Mtu pekee ninayemheshimu na ambaye labda mpaka sasa najichangachanga nimtafutie Zawadi ni JF Founder Maxence Melo ( Mtani wangu ) na Team yake yote ya JamiiForums hasa kwa kuamua kutuletea hii Forums nzuri ambayo hata akina sisi GENTAMYCINE tunaweza kutoa humu mawazo yetu mazuri.

Mwisho nikuombe tu kwamba baada ya wao kukutuma uje ufanye counter Kwangu na Wewe pia nakutuma sasa kwamba rudi kawaambie kwamba wajitahidi tu kila siku angalau hata tu kutenga muda wao na kupitia mabandiko yanayoandikwa humu JamiiForums kwani naamini kama wangekuwa wanayafuata na kuyafanyia Kazi leo tusingekuwa tunadharauliwa, kuchekwa hivi na kuonekana wote ni wa hovyo hovyo mbele ya Watu wenye akili zao timamu.

Usingizi mwema!

GENTAMYCINE ,

Mkuuu, sawa . Nimekusoma.
 
Nani ametukana? Aliyetukana kidiplomasia ni Wakenya. Wakubadilika ni anayesababisha matusi. Mchokozi ndiye anayetukanwa. Akina Nyerere walitukanwa kwa kufanya mambo ya msingi kipindi kile. Sasa huyu anayefanya vitu vya mwaka 1964 atusababishie matusi ya mwaka 2017?

?

Mkuu hebu achana na huyo tafadhali kwani wapo wengi tu humu. Ukiangalia tu hata argument yake jinsi ilivyo cheap utagundua halingani nasi Great Thinkers kwa IQ kubwa ambazo zimetukuka. Na ndiyo unaweza kuona hata Mimi sijamjibu chochote sana sana nimemdharau mno kwani hajui atendalo. Labda ungemuuliza tu kwamba hao wote aliowataja wanafanana na anayemtetea? Siku nyingine acha kupoteza muda wako kujibizana na Wapumbavu kama huyo Jamaa tafadhali Mkuu.
 
Back
Top Bottom