miwani ya maisha
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 1,733
- 2,510
YOWERI MUSEVENI+NKURUNZINZA+TANZANIA-KENYA=ICC INAWASUBIRI
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kweli mkuu ila Unadhanj Jangwa Tanzania linatoka na na mifugo inayokuja kula Tanzania?!...Umeongea mengi mazuri yenye kujenga lakini hii diplomasia ifanywe kwa mambo mengine sio kuvusha mifugo kienyeji bila taratibu za kudhibiti magonjwa na pia janga la uharibifu wa mazingira kutokana na ufugaji holela ni kubwa sana hapa kwetu.
Tayari hapa nyumbani tuna migogoro mikubwa na nchi inakuwa jangwa kwa kasi maeneo ya wafugaji, athari zake ni kubwa mno sio za kuzichukulia kirahisi na kutaka kuwafurahisha jirani. Ile njaa na ukame wa Kenya utakuja kwa kasi zaidi.
Diplomasia ifanyike kwenye mambo ya ukanda huru wa kibiashara na ajira n.k. sio mambo ya afya na mazingira.
chomwa dole la nyosoHao wakenya wakwende zao walituona maboya kwa kipindi kirefu sana waambie wakiingiza ng ombe nyingine tunazichoma moto, na si mifugo tu chochote kitakachoingia bila kufata sheria tunapita nacho