Kilichobaki Zanzibar ni nini? ndo tumemaliza?

Sodoku

JF-Expert Member
Feb 3, 2016
1,095
2,429
Sijajua mwaka 2020 Maalim Sharrif atakuwa na miaka mingap. Lakini ni waz kuwa umri wake utakuwa umeenda na waswas wangu ni zaid hata afya yake sijajua itakuaje. Mimi si Mungu wala Mtabiri lakini ni wazi atakuwa na athari kwa sababu kadhaa wa kadhaa.Nmeuliza so suala la Zanzibar linaendeleaje au limekuaje sasa? Ni wazi cuf wamepoteza na sasa wamejipoteza kwenye siasa za visiwani humo kabisa. Mwaka 2020 utakuwa ni mwaka rahisi sana kwa CCM upande wa Bara na Visiwani. Watashinda kwa urahisi sana maana watu weng wameshakata tamaa. Vyama vya upinzani vimeonekana kukosa nguvu kabisa. Vimenyong'onyea, vimeanza kukonda, sauti zao hazitoki tena au hazisikiki. Napata waswas na demokrasia ya vyama ving ambayo sasa imeshazikwa. Ni ngumu kwa miaka ya hapa karibun kupata vuguvugu na ari ya mwaka 2015 .itachukua miaka mingi sana. Je la Zanzibar ndo limeisha? Kama hivyo tu?
 
Mtu yeyote ambae amewahi kuwa Mwana CCM abadan hatoweza kuwatoa CCM kwenye Uchaguzi. Tusubiri kizazi ambacho hakijawahi kuwa na Kadi ya CCM. "...sikiliza Tido, kwa kifupi sana fahamu kuwa CCM haitotolewa Madarakani na Makapi yaliyotokana na CCM"-Comrade Abdulrahman bin Omar bin Kinaanah Al Habshy.
 
Suala la zanzibar ndo limeisha ndugu yangu. Hamna jipya tena. Ni mpaka mwaka 2020 nchi imesha dhibitiwa kikamilifu. Hakutakuwa na harakat nyingne zozote

Zanzibar mwisho wa ustarabu mwanzo wa mapambano ya maamlaka kamili.
su
 
Sijajua mwaka 2020 Maalim Sharrif atakuwa na miaka mingap. Lakini ni waz kuwa umri wake utakuwa umeenda na waswas wangu ni zaid hata afya yake sijajua itakuaje. Mimi si Mungu wala Mtabiri lakini ni wazi atakuwa na athari kwa sababu kadhaa wa kadhaa.Nmeuliza so suala la Zanzibar linaendeleaje au limekuaje sasa? Ni wazi cuf wamepoteza na sasa wamejipoteza kwenye siasa za visiwani humo kabisa. Mwaka 2020 utakuwa ni mwaka rahisi sana kwa CCM upande wa Bara na Visiwani. Watashinda kwa urahisi sana maana watu weng wameshakata tamaa. Vyama vya upinzani vimeonekana kukosa nguvu kabisa. Vimenyong'onyea, vimeanza kukonda, sauti zao hazitoki tena au hazisikiki. Napata waswas na demokrasia ya vyama ving ambayo sasa imeshazikwa. Ni ngumu kwa miaka ya hapa karibun kupata vuguvugu na ari ya mwaka 2015 .itachukua miaka mingi sana. Je la Zanzibar ndo limeisha? Kama hivyo tu?
shida ya cuf ni pale azma kubwa ni kumuingiza seif madarakani. kama seif hapati basi hakuna cha mwakilishi wala diwani. tofauti na chadema wao wanatumia tu mtu kupata viti kwa wingi kuongeza ruzuku. mbowe yeye anajali pesa, ni mfanyabiashara. iwe dr slaa, iwe lowassa yote sawa tu kama ataongeza ruzuku kwa kuongeza viti.
 
Hapa kazi tu zanzibar songeni mbele wala msiwaweze hawa machotara jengeni zanzibar yenu.
 
Siasa za Zanzibar ni zaidi ya siasa uzifahamu wewe ungejikita kwenye siasa za Tanzania Bara tu ndiyo uzichambue.
 
Huku Pombe, huku mbakaji demokrasia Cheni
Huku mgonjwa Edo huku mgonjwa (kutoka India jana) Chotara Maalum, waginjwa hawa wako hoi!
Uchaguzi mwingine ni 2025 huo wa 2020 ni usanii
Haya tukachape kazi
 
Sasa tusubiri uamsho kutolewa, yuliwafunga wasilete fyoko fyoko wakati wa uchaguzi
Na subirini Mwinyi Hussein awe makamu ..tunajijenga na 2020 na tushatambua hatupendwi kwa sababu za wahafidhina basi tutawaweka benchi
 
Mkuu nina u hakika hujafanya uchunguzi kuhusu hayo unayoyasema, nakubaliana tu na wewe kuhusu issue ya umri wa maalim Seif lakini kuhusu kupotea kwa CUF sidhani, go and do your homework properly. CUF walitangaza kususia uchaguzi na wakaeaomba hata wafuasi wao wasiende kupiga kura, taarifa zilizopo humu (kuna Uzi humo humu ndani) zinaonesha out 500,000 voters only 58,000 voters ndio walio turn up na kati yao 47,000 waliipigia KURA ccm, tafsiri ya haraka haraka inanambia bado Wazanzibari wengi waliitikia wito wa Maalimu Seif na CUF yao, kundi hili la waluogoma ni kubwa sana, binafsi ningependa sana hekima na busara itumike sana huko Zanzibar kwasababu hata watawala wana jua ushindi wa kule ulifanyikia maabara.
 
Back
Top Bottom