Kilichobaki Sasa nipate mke nioe

Kilichobaki Sasa nipate mke nioe

Ongea na mzee hapo atakuelekeza kila kitu😎
Mzee Gani Tena
Halafu Kuna Uzi nilikuita umefika tu ukaanza kuchat na jamaa mmoja mambo ya chumbani, nilkumaindi Sana yaani nakuita mimi unakuja wengine wanakubeba
 
Mzee Gani Tena
Halafu Kuna Uzi nilikuita umefika tu ukaanza kuchat na jamaa mmoja mambo ya chumbani, nilkumaindi Sana yaani nakuita mimi unakuja wengine wanakubeba
Jamani mbona sijaona nisamehe bure😦🙆🏽‍♀️
 
Back
Top Bottom