Au sio? 😂😂😂Nina debe 4 za mahindi,
Maharage yapo debe 1
Geto kama mnavyoona Alhamndulillah.
Kilichobaki Sasa nipate mke nioe
View attachment 3662722
🙂🙂Huyu hapana, Hilo Tako ataivunja chaga
ni nne kuna ile ya binti kuning'inia kwenye kamba 😄Tafuta Kitanda Cha chini Mkuu, maana kwa Kitanda hicho utakuwa limited kwenye style tatu tu hapo za kumzagamua huyo wife to be 😅
BTW, Kila la heri Mkuu
Leteni kadi tuwachangie harusi 🤪
Mambo ya dauble deka hayo,si mchezoNina debe 4 za mahindi,
Maharage yapo debe 1
Geto kama mnavyoona Alhamndulillah.
Kilichobaki Sasa nipate mke nioe
View attachment 3662722
Hiyo siifahamu mjukuu, naweza kuona picha yake 🤭🏃🏃ni nne kuna ile ya binti kuning'inia kwenye kamba 😄
nimekutumia pm maana hapa nitazua taharuki😄Hiyo siifahamu mjukuu, naweza kuona picha yake 🤭🏃🏃
Ngoja nivae miwani yangu nichungulie 🤭nimekutumia pm maana hapa nitazua taharuki😄
Tutaongeza kamba zaidi ili kupata staili zaidi mkuuTafuta Kitanda Cha chini Mkuu, maana kwa Kitanda hicho utakuwa limited kwenye style tatu tu hapo za kumzagamua huyo wife to be 😅
BTW, Kila la heri Mkuu
Leteni kadi tuwachangie harusi 🤪