secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 22,355
- 46,648
Ungemuomba picha kabla.Tulikorofishana
Ungemuomba picha kabla.Tulikorofishana
We naye una makasiriko tu ulitaka maziwa yatembee ili ufanyie nini? Vijana mkishinda njaa huwa mna makasiriko, mbona matajiri hawako hivi🤔Humu wamejaa single mothers, kilomita zinakaribia kuvunja nguzo, maziwa yamelala
Sasa si unifanyie wepesi! Mbona haujiongezi?Ungemuomba picha kabla.
Wala usiwape picha yako babe 😘Kabisaa papi😃
Nilijua tuu single mother mje na visiraniWe naye una makasiriko tu ulitaka maziwa yatembee ili ufanyie nini? Vijana mkishinda njaa huwa mna makasiriko, mbona matajiri hawako hivi🤔
Picha ya mtu ambaye huelewani naye unataka ya nini?Sasa si unifanyie wepesi! Mbona haujiongezi?
Acha maswali mwishowe atastukia mchezoPicha ya mtu ambaye huelewani naye unataka ya nini?
Ndio maana nakupenda sana dadii💃🏽Wala usiwape picha yako babe 😘
Single maza mwenyew, makota koya!Nilijua tuu single mother mje na visirani
Ngoja niangalie utaratibu hapa.Acha maswali mwishowe atastukia mchezo
I'm into you 🥰Ndio maana nakupenda sana dadii💃🏽
Fanya kweli sasa, sio kuchekelea tu kama ndege..Ngoja niangalie utaratibu hapa.
Ok!Fanya kweli sasa, sio kuchekelea tu kama ndege..
Bado hujasema, bado na mm kuja kuleta mayai yangu hapo uyalee 😎Single maza mwenyew, makota koya!
We yako ntakamulia chooni!🚮Bado hujasema, bado na mm kuja kuleta mayai yangu hapo uyalee 😎
Uhakika au siyo... hahaha sijiandai na chochote...Wee ushajianadaa nahizo mvua ausio????
Ongea na mzee hapo atakuelekeza kila kitu😎
Nina debe 4 za mahindi,
Maharage yapo debe 1
Geto kama mnavyoona Alhamndulillah.
Kilichobaki Sasa nipate mke nioe
View attachment 3662722
Lipo tena kubwa mno. Akiwa anaenda utadhani ndo anarudi 😋