Hahahaaaa ubunifu wa kiwango cha rami mkuu!Nimejipata mkuu, unaona kitanda hicho chenye hadhi ya nyota Tano
Hapo sasa mke ashindwe mwenyewe tu.Kama ulikuwepo mkuu 🤣 gademit
Wee ushajianadaa nahizo mvua ausio????
Aisee hivi jf kuna pisi ya hivi kweli?
Seran ako na sura mzuri kumshinda huyo bibie wa pichani.Aisee hivi jf kuna pisi ya hivi kweli?
Mbaga Jr secretarybird de Gunner
Ndege ulisema wewe ni msema kweli?
Lazima wawepo mkuu humu nako ni kama mtaani tuAisee hivi jf kuna pisi ya hivi kweli?
Mbaga Jr secretarybird de Gunner
Ndege ulisema wewe ni msema kweli?
Wewe si ulikuwa unachati naye PM mkuu?Nitumie picha yake kwa pm yangu mkuu
TulikorofishanaWewe si ulikuwa unachati naye PM mkuu?
Humu wamejaa single mothers, kilomita zinakaribia kuvunja nguzo, maziwa yamelalaAisee hivi jf kuna pisi ya hivi kweli?
Mbaga Jr secretarybird de Gunner
Ndege ulisema wewe ni msema kweli?