Kiliba: CHADEMA hata ikishika dola hawajui nini chakufanya

Kiliba: CHADEMA hata ikishika dola hawajui nini chakufanya

Upoyoyo ni Mwingi sana humu nchini, sijui tutawezaje kufanikiwa kuuondoa huu ujinga wa hawa vijana wanao bwabwaja bila kujua wanachosema au kukielewa... yaani mtu anakuja anakupiga mangumi ya kutosha , unalia na kumpotezea na baadae anakuja na anasema njoo turidhiane? kwa nini mpiga mangumi anataka kuridhiana na mpigwa mangumi? kuna nini? Ni kwa nini anang'ang'ania sana maridhiano, je anaogopwa kugeuziwa kibao au kuna nini cha ziada ?
 
Huyo dog Kwa umri wake wa ubwabwa shingoni na denge lake kama koplo sugu wa magereza,anataka kutuambia watu wote hao waliopo CHADEMA na kutangulia kuliona jua kabla yake hawajui kuiongoza serikali watakayoitwaa?Dogo aache uzuzu wake,aache hisiahisia na kutamka asiyoyajua.
 
Huyu huwa ana kijiji chake cha chawa huko Instagram akipost tu wanajaa na comments zao za kufanana fanana
 
Back
Top Bottom