Kili Music Awards 2011

tehe huo wimbo una uasili gani? zile nyimbo za saida kaloli si ndo za asili? mpoki kafanya bongo fleva kuna vikundi kibao vinafanya ngoma au mziki wa asili. ntaanzisha kikundi changu cha KAMBINDI halafu ntaimba huu wimbo SOKONI NILIPOKWENDA SOKONI NILIPOKWENDA NILIMKUTA DADA MMOJA EEH LIWAYA AMEPAKA WANJA EEH LIWAYA WANJA SIO WANJA EEH LIWAYA BALI NI MKAA EEH LIWAYAA
 
utadhani ni mashindano ya wanafunzi wa sekondari, hakuna mvuto na mpangilio ni hovyo hovyo
 
Najihisi kama mwanamke ambaye kajifungua bila kuwa na ujauzito - Mpoki
 
Keep me posted maana nimezima TV ili niboreshe uhusiano kati ya kichwa changu na mto. If you know what I mean.
 
Pengine walio ukumbini wanaenjoy zaidi/wanaona vitu bora zaidi! Kwa ss tunaoangalia tv itv wametuangusha...
 
Yap! Mkongwe Said Mabera ANANOGESHA KIUKWELI PALE!!!!
 
Tuwape moyo, tuwakosoe na tuseme wanatakiwa kufanya nn, sio kupoonda tu bana.....!
 
Pengine walio ukumbini wanaenjoy zaidi/wanaona vitu bora zaidi! Kwa ss tunaoangalia tv itv wametuangusha...
watu wanaweza kutofautisha kati ya itv na maandalizi mabovu
na kutuwekea nyimbo za mwaka juzi nayo ni itv:embarassed2:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…