Kilema na Madenda

Pazi

JF-Expert Member
Mar 5, 2011
2,946
1,815
Siku Mmoja Kilema wenzake walijitaarisha kwenda mawindoni, Sasa Kilema naye akataka kwenda wenzake wakamwambia wewe baki kuna Simba muda wakukimbia hutoweza na hatuwezi kukubeba wewe, Jamaa alingangania wakamchukua kufika kule bahati mbaya akatokea Simba wenzake wote waliparamia Mti yeye anashindwa anarukaruka chini pale na kiguru sasa wengine umri wao sababu mdogo wakaanza kumcheka, SiMba ile anakaribia karibu mmoja katika kucheka aliangusha denda refu sana Kilema ile Simba huyu hapa alidandia Denda mpaka juu ya mti.
 

Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom