Kile kipindi ambacho nilipotea

Saaalaleeee
 
Ngoja tuwahi Ibiza tusijekosa pa kujificha usiku.
 
Kuwa mpole stay tuned...!
Mwaka 2008, December, nikiwa mfanyakazi wa kampuni Fulani kubwa kuliko zote hapa tz ya uchimbaji wa madini aina ya dhahabu, kwa sasa inaitwa acacia janja janja ya ukwepaji Kodi angalia bio yangu as a mine engineer,@(underground) mshikaji wangu mmoja mussa alinipeleka huko gambosi nilipata kesi Moja tata sana!, mwendo wa masaa 2 toka magu MZA, tulitumia Massa 12 kwa bodaboda , nafika gambosi naulizwa!" Umefiwa na ndugu yako!!?? " "uliza huo mkwaju mkubwa utakujibu kama nduguyo Yuko hapa!" Nilichoka! Huo mkwaju uko pembeni ya shule ya msingi gambosi, na ukwaju wake huwa hauliwi! Nilishinda kesi kwa mazingira tata sana! Inaendelea...............!
 
Duuuuh story ndani ya story.
Hata hivyo hueleweki mkuu.
Weka story yako ktk mfumo mzuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…