Kile kipindi ambacho nilipotea

Jamaa atawaingiza mkenge wengi, hususan wakati huu wa mpito.

Hivi nnamashaka wengine washaanza kumtafuta na wengine washaliwa, wanangoja matokeo.
 
Ukitaka kupata kichekesho hiki mtafute mlekulechoma! Another stupid idiot...!
Nidanganye ili iweje sasa! Acha upuuzi
Natumia jina halisi na hata picha pia
Nimeandika kila kitu kwa uwazi mno, nimetaja maeneo yanayotambulika kabisa
Nilikuwa na raia wa kigeni, (easy to spot ) muda unajulikana, kabla hujaandika up.upu kama huu ungeenda maeneo husika kupata ukweli sio mbali ni hapo Nyamisati ningekulipia hata nauli malazi na chakula ili ukajiridhishe
Silipwi sitafuti soko la chochote kupitia post zangu...
Nenda Nyamisati hata kesho kajiridhishe ndio uje hapa kutoa hukumu...kisha uje na ile ID yako iliyozoeleka
 

 
Hivi mko wangapi? Mbona wengine hatuwaoni? Tuwekee hiyo post unayodai kadanganya ambayo kila siku ndio reference yako! Hivi huna haya mwanaizaya uso na haya weye?

Si moja, zipo nyingi.
 
Mapovu yooote hayo!hasira za nini?hizi fiksi tu!humu wote si watoto......kwa kifupi sisi watu wa pwani....tuliozoea bahari....hizo stori za kawaida saaana!ni kama stori za vibwengo....majini chunusi.....nk uwe mpole tu!
 
Mapovu yooote hayo!hasira za nini?hizi fiksi tu!humu wote si watoto......kwa kifupi sisi watu wa pwani....tuliozoea bahari....hizo stori za kawaida saaana!ni kama stori za vibwengo....majini chunusi.....nk uwe mpole tu!
Kafanye nilichokuambia upate mandate ya kujenga hoja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…