Kilango sasa awageukia akina Slaa

COSATA wanaweza kuombwa na Mama Anna Kilago kwenda bungeni kutoa haki miliki za hoja!!! eti hoja ukiisema wewe basi asiwepo wa kuongea tena, akiongea ameteka loh!! upuuzi huu. Ninawasiwasi na bongo za wakuu hawa, mioyo yao imejaa uchama na ubinafsi. It is very difficult to reach there...
 
Mzee hadi wewe? Mbona hata wiki haijapita umeshabadilisha mawazo? Kwa hiyo tukubaliane kabisa hapa kama wapinzania watadai kesho kuwa hoja ni yao nao pia watakuwa wanaboa au CCM tu wakidai hoja ni yao wanaboa?
Mazee sam, yale maelezo yangu ni kwa wabunge wote(CCM na Wapinzani) ambao watadai kuwa hoja fulani ni zao basi wabunge wengine hawana haki ya kuziongelea, hatuwezi hata siku moja kujenga bunge lenye kutetea maslahi ya Taifa iwapo wabunge wenyewe watakuwa na ubinafsi na kuzipa ownership hoja zao mbalimbali. Bado naamini kabisa Mama Kilango ni mbunge mzuri, Mzalendo, anaechukia mafisadi na mwenye kutetea maslahi ya nchi yake.
 
Hivi we sam uko sawa kichwani?

Very strong question? hizi habari kutoka Dodoma bado haizeleweki vizuri, haya magazeti uchwara hayaaminiki hata siku moja, aliyeleta hoja ndio kabisaaa yaani mwaka huu kuna hatari sana ngoja tutafute ukweli baadye tutauweka hapa! something is not right na kinachoripotiwa na kinachoendelea!
 
Mazee sam, yale maelezo yangu ni kwa wabunge wote(CCM na Wapinzani) ambao watadai kuwa hoja fulani ni zao basi wabunge wengine hawana haki ya kuziongelea, hatuwezi hata siku moja kujenga bunge lenye kutetea maslahi ya Taifa iwapo wabunge wenyewe watakuwa na ubinafsi na kuzipa ownership hoja zao mbalimbali. Bado naamini kabisa Mama Kilango ni mbunge mzuri, Mzalendo, anaechukia mafisadi na mwenye kutetea maslahi ya nchi yake.
Nimekusikia Mkuu, hivi kwa mfano Karamangi akiibuka na kulaumu mafisadi na kudai wakamatwe na wachukuliwe hatua za kisheria utamchukulia kuwa ni mbunge mzuri kwa kuwa ameongea?
 
Masalahi ya hoja ni ya ccm na ya Taifa ni ya nani?
Mama keshachemsha!
Kudai kuwa eti ni mzalendo kwa kusema fedha zirudishwe na fedha ambazo Mkuloo keshasema hazina mwenyewe ni ukichaa!
Hawa watu lao moja kutetea maslahi ya chama!
Wanataka kudai hoja ni yao ili waiongoze wanavyotaka kukamilisha changa lao la macho!
WABONGO MSIKUBALI!
 
Bado naamini kabisa Mama Kilango ni mbunge mzuri, Mzalendo, anaechukia mafisadi na mwenye kutetea maslahi ya nchi yake.

Mkuu Geeque,

Heshima mbele na saafi sana kwa kukwepa mtego wa mkuu hapa, ambaye ni clear kuwa hana hoja ila ana something lakini tutakiweka wazi sooon hapa!
 
Nashukuru.Lugha ipi hiyo mkuu?
Ila siamini macho yangu!
Tungeomba Six arelease ripoti ya uchunguzi wa "Unga unga" mara moja kama akiweza na pia aongeze muda wa mijadala kama kanuni za bunge zinamruhusu.

Mie nafikiri hilo suala la unga unga lilikabidhiwa kwa vyombo vya usalama kwa uchunguzi zaidi. If that being the case, Sitta atawezaje kuongea kwa niaba ya Vyombo vya usalama?
 
Mie nafikiri hilo suala la unga unga lilikabidhiwa kwa vyombo vya usalama kwa uchunguzi zaidi. If that being the case, Sitta atawezaje kuongea kwa niaba ya Vyombo vya usalama?

Ishajulikana si sumu!
Polisi?
Vyombo vya usalama?
Nani?
Kina MWEMA WALIOKIRI KUTOWEZA KUMGUSA MTU?
 
Halafu naona bbc hapa Mugabe anadai watu wa mind business zao!
Yani vituko!
Anadai ni uchaguzi tu!Huku kina Bush wameweka wazi kuwa hawataruhusu ajitangaze juwa Rais!
Sasa wale wanaobisha vita ya Zimbabwe haitapigwa...Waangalie kwa makini ili nchi yetu isijiingize humo!
 
Kila mwanadam mapungufu yake, ni yeye mwenyewe, na Mola ndiye anajua.
Kila mwanadam matatizo yake, ni yeye mwenyewe, na Mola ndiye anajua.

Hao wanasiasa wanatuchanganya, wao wanapeta, sisi tunauana.
Sisi tunapishana kwa waganga, Mola utusamehe.

--- Bushoke

Eee Mola,

Utusamehe sisi kwani wakati mwingi hatujui tulifanyalo. Utulinde na mabaya, utuepushe na karaha za dunia.

--- Mwana wa Haki

Nanyi ongezeeeni kwenye hii dua...
 
Nimekusikia Mkuu, hivi kwa mfano Karamangi akiibuka na kulaumu mafisadi na kudai wakamatwe na wachukuliwe hatua za kisheria utamchukulia kuwa ni mbunge mzuri kwa kuwa ameongea?

Nitamchukulia Karamagi ni mbunge mzuri pale atakapojipeleka polisi mwenyewe na kutoa ushahidi wote dhidi ya mafisadi wenzake, ushahidi huo ambao utapelekea kwa mafisadi wengine zaidi kukamatwa na kuswekwa jela miaka mingi baada ya mali zao kutaifishwa. Hapo atapata hongera zangu nyingi sana.
 
Hawezi kujipeleka!
Kama Mwema ameshindwa kumkamata...Then kujipeleka ni kama wishfull thinking..Just as same as kutegemea Mama Killango atayatetea maslahi ya Taifa kabla ya yale ya chama chao cha ccm.
 
.....hii mambo ya hoja yangu kama watoto wa third grade sounds like a pure selfish, nilianza kumwamini huyu mama with some reservations,thought she was for betterment of our country lakini seems she stuck into this old fashioned politics za ujiko ujiko!

Juzi tu huyu mama alitwambia kwamba kuna wabunge wa CCM hawasemi chochote ndani ya Bunge, leo kaibuka anatwambia kwamba wabunge wa CCM wako imara kupambana na ufisadi!!! katika kipindi kisichozidi hata wiki moja ametoa kauli mbili ambazo zinapingana!! Hakusubiri hata muda mrefu kuanza kujikanyaga kanyaga!....:(:(
 
Bubu na wewe sasa kama unatoa hizo kauli hapo inatosha tosha!
Kwasababu huna principle!
Huko radhi kufata mkumbo!
Kama ulivyofanya siku mbili zilizopita na kusababisha tushindwe kujadili issue za Taifa!
Baki hivyo hivyo na usiwe vugu vugu tena la utatapikwa!
 
huyu mama alirubuni watu mapema mno kwa maneno yake ya "uchungu" juu ya epa.
lakini cha kujiuliza, ikiwa kweli yeye alikuwa na uchungu na pesa ya wananchi kwa masilahi ya wananchi, angejali sana nani kaanzisha hoja? au angefurahi kama hoja yake inazidi kuchangiwa ili kulishinikiza bunge litoe maelezo ya kile alichokitolea hoja?

mama umechemsha. tumekugundua kuwa uliulizia kuhusu epa ili kukiosha chama chako tu na sio kwa machungu ya wananchi.
 
Mama Kilango naye anaanza kuleta ushabiki wa CCM wakati Mama Anna Abdallah kampiga vijembe majuzi tu. CCM huko kuna mambo kweli kweli.

Neno Mafisadi na swala la fedha za EPA ni mambo yaliyozuliwa na Dr. Slaa kwa mara ya kwanza kwenye mkutano wake wa hadhara pale Mwembechai hadi watu kadhaa wakatishia kumshitaki. Mama Anne Kilango alikubaliana na hoja za upinzani na kupingana na ngome yake ya CCM hadi ikafikia wanaCCM wenzaje wakawa wanampiga vijembe. Leo hii anataka kuipora hoja hioy ile iwe yake na CCM. Hii ni tabu kweli kweli, hapa bunge letu linacheza pwagu na pwaguzi nzito kabisa.
 
WAWAPE WAZALENDO NCHI WAACHE UHUNI!
Hata hizo hoja kupeleka bungeni ni upotevu wa muda tu!
Ushaidi wote upo ni swala la mwema kukamata!
Tatizo ni kwamba wameshindwa kufanya hivyo.
 
Juzi tu huyu mama alitwambia kwamba kuna wabunge wa CCM hawasemi chochote ndani ya Bunge, leo kaibuka anatwambia kwamba wabunge wa CCM wako imara kupambana na ufisadi!!! katika kipindi kisichozidi hata wiki moja ametoa kauli mbili ambazo zinapingana!! Hakusubiri hata muda mrefu kuanza kujikanyaga kanyaga!....:(:(

Bubu na wewe sasa kama unatoa hizo kauli hapo inatosha tosha! Kwasababu huna principle! Huko radhi kufata mkumbo!
Kama ulivyofanya siku mbili zilizopita na kusababisha tushindwe kujadili issue za Taifa! Baki hivyo hivyo na usiwe vugu vugu tena la utatapikwa!

Mushi, Bubu anammaliza nani pale Anne Kilango?

I can't believe this! I can't believe this! I can't believe this!

I told you people! I told your asses! (samahani nikeshikwa na furaha/hasira kwa sababu moja ya watu ambao nilisikitika kutofautiana nao katika hii ishu ni Bubu. Nimefurahi hapa ataona sikuwa na nia mbaya ya kum undercut huyu Mama Mbunge)

Kina Bubu waliniona kama shetani la kifisadi niliposema huyu Mama ni msanii.

Bubu umesema eti...Ha haaa haaaaa a

Bubu, nilimsikia huyu Mama anaongea na Mwanakijiji jamani. Kabla ya hapo nilikuwa nampenda sana huyu Mama. Tena nikawa namu admire kwa sababu akiwa kama Mke wa Malecela, you would think atakuwa mkereketwa wa CCM establishment being that Mmewe ni party statesman. Nikawa nazidi kumpenda kwa kukosoa kosoa chama cha Mmewe. Kuja kumsikia anamwambia Mwnkjj eti Kikwete administration ni adui wa ufisadi kwa sababu eti alitoa hotuba nzuri wakati wa inauguration nikasema Mama tema mate chini!

Sasa, check this out Bubu: Hayo ya Musa. Kaa chonjo. Ya firauni yanakuja. Don't change the channel.
 
Mimi sioni kama kuna kuibiana hoja once linapokuja kuwa suala lenye maslahi ya taifa. Hapo kuna vitu viwili kuna umaarufu kwa kupitia hizo hoja zenye kuibua utata miongoni mwa wananchi na serikali pamoja na kujitoa mhanga sasa huyo mama nadhani anafit kwenye hiyo ya umaarufu wa kisiasa kupitia hizo hoja za EPA na blah blah.
 
wana jf kama walirogwa kwa mama huyu! nashangaa kuwa mama alifungua mdomo na kutoa kauli siku moja tu, watu wakamuona shujaa mkubwa sana. wakampigia makofi na chereko, wakampigia mpaka vote of confidence.

leo huyo hapo.....wiki haijafika! anakuja na kauli za kukisafisha chama na si vyenginevyo.
si kosa lake, ila ni tabu kuwa mwana ccm na ukawa na uchungu wa nchi yako kweli. kwa sababu chama chenyewe tayari kinamisingi ya kubebana, kufichiana madhambi, kufisidisha mali za wananchi, na kutojali.
katika misingi hiyo kumkuta ccm mwenye uchungu wa nchi ni nadra sana
 
Back
Top Bottom