mpenzi wako akiwa rafiki yako...mean best friend wako ni raha sana
urafiki ni mzuri kuliko hata mapenzi yenyewe
na hapo law ya friends with benefits inaaply vizuri
na benefits zenyewe ndo mapenzi nk
je wewe mpenzi wako or mchumba wako au mkeo ni rafiki yako
wengine humu hata hawasalimiani na wake/waume zao but ni wanandoa shame on you! tena wengine eti wanalala room tofauti ,upuuzi mtupu mtakuwa kuni za kuchomea moto jehanamu wanafiki ninyi!
ujue ni rahisi kumkosoa rafiki yako in a friendly manner hata kwa utani na msigombane, sio lazima kuamrishana kama mpo jeshini..
kama hakuna urafiki ndo hivo mnaishi kwa amri amri matokeo yake ni chuki na visasi
kama mkeo ni rafiki yako hata chai akiweka chumvi badala ya sukari unainywa ukimaliza unamwambia tu calmly "switie eeh si umeweka chumvi humu dear but ni tamu kidogo" mnacheka pale but next time hatorudia
sio unaanza makelele ka bendi ya jeshi kitu kidogooo inzi 1000 ...ni nini?unanunua ugomvi wa nini?
wapenzi wengi daily wanagombana kwa vitu ambavyo hata havipo simply tu kwa vile sio marafiki
nakuja kumalizia party tu
hanipendi bwana hata gmoning hakuna kuna nini hapo?
@rr babu
nishakua sana tu nayaonaHakuna anayeingia katika mahusiano akitegemea kugombana na mwenzi wake wa ndoa au mpenzi. Kila mtu anakuwa na matarajio makubwa katika mahusiano.
Kwa kuwa umesema kuwa haujaolewa mwanangu "kua uyaone." Maneno siyo matendo katika ndoa.
Kwani huyo ndiye baba wa baby wako unayemmiss kila sekinde? Kama ni mshika pembe wa kawaida unaweza kumtwanga likizo na ukiendelea mishe mishe yako with little or no harm at all.@rr babu
mpenzi wako akiwa rafiki yako...mean best friend wako ni raha sana
urafiki ni mzuri kuliko hata mapenzi yenyewe
na hapo law ya friends with benefits inaaply vizuri
na benefits zenyewe ndo mapenzi nk
je wewe mpenzi wako or mchumba wako au mkeo ni rafiki yako
wengine humu hata hawasalimiani na wake/waume zao but ni wanandoa shame on you! tena wengine eti wanalala room tofauti ,upuuzi mtupu mtakuwa kuni za kuchomea moto jehanamu wanafiki ninyi!
ujue ni rahisi kumkosoa rafiki yako in a friendly manner hata kwa utani na msigombane, sio lazima kuamrishana kama mpo jeshini..
kama hakuna urafiki ndo hivo mnaishi kwa amri amri matokeo yake ni chuki na visasi
kama mkeo ni rafiki yako hata chai akiweka chumvi badala ya sukari unainywa ukimaliza unamwambia tu calmly "switie eeh si umeweka chumvi humu dear but ni tamu kidogo" mnacheka pale but next time hatorudia
sio unaanza makelele ka bendi ya jeshi kitu kidogooo inzi 1000 ...ni nini?unanunua ugomvi wa nini?
wapenzi wengi daily wanagombana kwa vitu ambavyo hata havipo simply tu kwa vile sio marafiki
nakuja kumalizia party tu
kwa kweli hili kila siku mi nalisema wanandoa mkiwa sio marafiki mbona hyo ndoa inakuwa balaa!yani full kuogopana mtu hata huwezi kusema hapa panawasha nikune!hapa kuna kijipele niangalie tena unasema huku unaonesha kabisa!sasa mtu mume ndo ka babako mzazi na mke ndo kama mamako mkubwa lazima ujikunyate!kisa?unamuogopa!mpenzi wako akiwa rafiki yako...mean best friend wako ni raha sana
urafiki ni mzuri kuliko hata mapenzi yenyewe
na hapo law ya friends with benefits inaaply vizuri
na benefits zenyewe ndo mapenzi nk
je wewe mpenzi wako or mchumba wako au mkeo ni rafiki yako
wengine humu hata hawasalimiani na wake/waume zao but ni wanandoa shame on you! tena wengine eti wanalala room tofauti ,upuuzi mtupu mtakuwa kuni za kuchomea moto jehanamu wanafiki ninyi!
ujue ni rahisi kumkosoa rafiki yako in a friendly manner hata kwa utani na msigombane, sio lazima kuamrishana kama mpo jeshini..
kama hakuna urafiki ndo hivo mnaishi kwa amri amri matokeo yake ni chuki na visasi
kama mkeo ni rafiki yako hata chai akiweka chumvi badala ya sukari unainywa ukimaliza unamwambia tu calmly "switie eeh si umeweka chumvi humu dear but ni tamu kidogo" mnacheka pale but next time hatorudia
sio unaanza makelele ka bendi ya jeshi kitu kidogooo inzi 1000 ...ni nini?unanunua ugomvi wa nini?
wapenzi wengi daily wanagombana kwa vitu ambavyo hata havipo simply tu kwa vile sio marafiki
nakuja kumalizia party tu
Ila jamani ni kwa nini yale maneno ya uchumba ya mpenzi, darling, sweet, n.k na vile vijikadi na vijizawadi vinaishia siku ya ndoa? Kama tungekuwa tunaendeleza haya basi urafiki ungeendelea kuwepo!!!! Yaani uchumba/urafiki fake kabisa!!! Lots of pretence!!! Matokeo yake siku mbili tu mmeshaanza kupelekana kwa wasimamizi, wazazi, marafiki, housegirls/boys eti wanakuwa ndo waamuzi wa maugomvi yenu.
Ukiona watu wamevaa suti zao maofisini na mipete mikubwa kidoleni nyingi ni geresha tu!!! wanatamani wavue!!! Dah, kitendawili.
mshika mkia tu huyu
Dahh?!
Hapa kweli lazima ujiulize "kila siku makelele why"
Poleni nyote wawili, ni upepo mbaya tu unavuma....utapita tu,
BTW valentine day is only 3-months away 😀
I married my best friend ,trust me it's worth it
kwa signature yako hapo chini... nahic we mkerewe aau muha....@Smile, hebu kuja tutete kidogo...bila makelele
kwa signature yako hapo chini... nahic we mkerewe aau muha....
Kunrazi njomba... nahaisi hajastuka...endeleza kuvizia..!!Unanipeperushia ndege wangu mkuu...chuna!