kila siku makelele why!

He hee... Kuna rafiki yangu ameoa hivi karibuni, jamani, mkewe vyombo alivyopewa sijui kitchen party, kaviandika majiina...kila kitu alichopewa kama zawadi kwao kaviorodhesha...jameni, mguu nje mguu ndani, yuko tayari kwa lolote...hii hatari sana! na kama ndo hivi, huo urafiki utatoka wapi?! Mungu atusaidie jamani...

yaani hapo inabidi awahi kumzalisha watoto 2 au 3, labda ndio akili ya huyo mwanamke itakaa sawa, la sivyo itakula kwake! Amuwahi kabla hajawahiwa!
 
sijaolewa RR alivunja uchumba
mmmh yaani watu hawasalimiani wanapendana kishuka style? sielewi

Ndio maana unawaza mbali mdogo wangu. Ukiingia utaona utamu wake. Wanawake wengi wanafanya makosa ili upige kelele ndo furaha yao kwamba wanapendwa. Sasa hapo utaepuka kelele kweli?
 
Last edited by a moderator:
Kha? ....yaani RR ndio ame myuti kimoja?.....umejaribu kumsalimia? Utakuwa umemkwaza wewe.

'Kubanana' sana kwenye relationship kuna create tensions ambako hupelekea 'asiyesikilizwa' ku opt -mnuno!- kama silaha ya muda...

walewale, unabanwa na nini?, "What you are trying to hide is the source of the problem" unanuna ili kuprotect unachoki hide/ kupitisha hoja zako! Hapo tena mnakuwa sio mwili mmoja tena. Je na yeye ukigundua anatumia the same weapon agaist you Utafurahi? Stay out of trouble if you can!
 
Last edited by a moderator:
Sasa wewe ulikua unakomalia urafiki...wakati mimi sio rafiki yako kabisa, it was rather a mutual partnership.
Hebu msome shemeji yangu AshaDii hapo juu.
Infakt hatukuachana...tumepeana space kidogo tu....mimi sithubutu kukuacha ujue....

eheheee mbona uliniacha jamani
 
Last edited by a moderator:
Mambo huaanza polepole dada, lakini akina dada wengi si wasikivu na wazigatiaji. Leo chumvi kwenye chai nakuambia ' switie eeh si umeweka chumvi humu dear but ni tamu kidogo", unarudia kesho yake na kesho yake na tena na tena. Hiyo switie inabadilika inakuwa sweat unless otherwise usiwe mwanaume wa ukweli. Huo ndio ukweli. Wengine haturudi maneno yaleyale kwa tukio lililojirudia mara tatu. Ujumbe wako umekamilika na wala usiendelee.

aangalie asije akafulishwa mpaka ch**p*. akaangalie kwenye jamii foto kuna mfano live bila chenga. Wanawake wanatabia ya kung'ata na kupulizia ukilea uzembe mziki wake utakuja kuuona!
 
Sasa wewe ulikua unakomalia urafiki...wakati mimi sio rafiki yako kabisa, it was rather a mutual partnership.
Hebu msome shemeji yangu AshaDii hapo juu.
Infakt hatukuachana...tumepeana space kidogo tu....mimi sithubutu kukuacha ujue....
mmmh so wewe ni nani yangu cause sioni kama tu marafiki
 
Wewe ni mpenzi wangu.....thats all...
Mutual relationship, unapata unachotaka toka kwa mimi na mimi napata ninachohitaji kwako....i wasn't looking for a friendship in you!

mmmh so wewe ni nani yangu cause sioni kama tu marafiki
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Ungeswitch kidogo ukawa Mwanaume halafu ukaatoa maelekezo kwa mpenzi wako/mke wako ungeona hayo. Mara nyingine huwa najiuuliza hivi wanawake wanatabia ya kusahau sana?

1 mwalimu wao ni kipofu halafu alisha-vuta,
2 ni wabishi na wajeuri.
3 wengi wanaakili ya kumkomoa mwanamne wakikoromewa kidogo
4 sometimes wanakuwa na akili za kitoto regardless ya umri, labda ndio maana wamewekwa kundi moja na watoto (women & children)
5 wamegombana na saa. Wanawake wanaoweza kukeep time ni wachache sana.
 
duuuh mkuuu taratibu jamani
 
tena usiombe uoe mgogo! Wanapenda ngumi. Mapenzi ya kweli siku hizi hamna, ni wizi mtupu! mapenzi yenyewe dada zetu wameyageuza ajira! Unakopeshwa k**m*, then unapigwa mzinga ili ulipie huduma kama haikuwa cash. Kaka hapa town wezi ni wengi wengine wanakuwa inform of a wife.
 
Wewe ni mpenzi wangu.....thats all...
Mutual relationship, unapata unachotaka toka kwa mimi na mimi napata ninachohitaji kwako....i wasn't looking for a friendship in you!

Dah, go easy buddy....she wants to be your friend bana, kha?
 
Hahahahaa....
Mkuu Mbu bana.....wengine wanataka tuugomvi twa hapa na pale....ndo nilichofanya hapo....

Dah, go easy buddy....she wants to be your friend bana, kha?
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: Mbu
Back
Top Bottom