kila siku makelele why! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

kila siku makelele why!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Smile, Oct 24, 2012.

 1. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #1
  Oct 24, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  mpenzi wako akiwa rafiki yako...mean best friend wako ni raha sana
  urafiki ni mzuri kuliko hata mapenzi yenyewe
  na hapo law ya friends with benefits inaaply vizuri
  na benefits zenyewe ndo mapenzi nk
  je wewe mpenzi wako or mchumba wako au mkeo ni rafiki yako
  wengine humu hata hawasalimiani na wake/waume zao but ni wanandoa shame on you! tena wengine eti wanalala room tofauti ,upuuzi mtupu mtakuwa kuni za kuchomea moto jehanamu wanafiki ninyi!
  ujue ni rahisi kumkosoa rafiki yako in a friendly manner hata kwa utani na msigombane, sio lazima kuamrishana kama mpo jeshini..
  kama hakuna urafiki ndo hivo mnaishi kwa amri amri matokeo yake ni chuki na visasi
  kama mkeo ni rafiki yako hata chai akiweka chumvi badala ya sukari unainywa ukimaliza unamwambia tu calmly "switie eeh si umeweka chumvi humu dear but ni tamu kidogo" mnacheka pale but next time hatorudia
  sio unaanza makelele ka bendi ya jeshi kitu kidogooo inzi 1000 ...ni nini?unanunua ugomvi wa nini?
  wapenzi wengi daily wanagombana kwa vitu ambavyo hata havipo simply tu kwa vile sio marafiki

  nakuja kumalizia party tu
   
 2. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #2
  Oct 24, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,847
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Nasubiri part thri
   
 3. Nicole

  Nicole JF-Expert Member

  #3
  Oct 24, 2012
  Joined: Sep 7, 2012
  Messages: 4,284
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Vp bibie shem kakupigia makelele asubuhi nn? Bt wat u say is correcto!
   
 4. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #4
  Oct 24, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  nooo yaani hata sijui kaniambia nini maana sauti yake naisikiaga kama muziki mororo huwa hata simuelewi yupo cool sana
  nimesema tu nimeona kwenye jamii
   
 5. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #5
  Oct 24, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  ok wait..miss u love
   
 6. K

  Kulya JF-Expert Member

  #6
  Oct 24, 2012
  Joined: Sep 24, 2011
  Messages: 339
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  kweli kabisa aisee...ila most of r'ship ni tamaa za kitu flani alichonacho mwenzi na sio urafirki, hasa body parts...kwa guys ni hips, ****, boobs...lakini mwanaume akishazoea tu alichotamani na kukiona cha kawaida, kwishaaa...ila kama uhusiano ungejengwa kwa urafiki mambo yangekuwa safi
   
 7. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #7
  Oct 24, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  kweli mimi napenda mtu wangu anitreat in a friendly manner mengine ni ziada tu
   
 8. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #8
  Oct 24, 2012
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  ... Smile, are you married?

  Kama bado, 'ukitaka kuujua uhondo wa ngoma, uingie ucheze!'

  Kama ushaolewa, 'wagombanao ndio wapatanao!'.... Hata kama hawasalimiani, wana udugu wa shuka hao unaowapatanisha, hata kama ni kwa msaada wa 'kiroba'
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 9. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #9
  Oct 24, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  sijaolewa @RR alivunja uchumba
  mmmh yaani watu hawasalimiani wanapendana kishuka style? sielewi
   
 10. K

  Kulya JF-Expert Member

  #10
  Oct 24, 2012
  Joined: Sep 24, 2011
  Messages: 339
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  and that's sweet than ever...ila kiukweli kabisa, though sijafanya utafiti rasmi, ndoa nyingi Tanzania yetu hii ni kwa maslahi au sababu ya "something material", au mimba zisizotarajiwa na wazazi kukomaa na kuwalazimisha kuoana...ndo maana maugomvi daily, ugomvi wa bedroom unafika livingroom, mara nje ya nyumba...kutahamaki ushatoka getini huooo...kwa majirani, kituo cha tax au daladala, ofisini.... labda ni kukosekana kwa jando na unyago, ila mimi personally sijapitia hiyo kitu, so siwezi isemea sana.Ila hali ya mahusiano ya kindoa kwakweli ni ngumuuuuu, hasa kwa zama hizi.
   
 11. Uncle john

  Uncle john Member

  #11
  Oct 24, 2012
  Joined: Oct 22, 2012
  Messages: 51
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwa hao wanaopendana kishuka style wasubiri hiv maana uaminifu hamna coz hakuna upendo. Wengine waliofuata maisha bora, kazi nzuri, magari na fedha ila hakukuwa na upendo wa kweli. "Shortcut is always a wrong cut ". Na wengine wanapigana wakati ni mwili mmoja!
   
 12. K

  Kulya JF-Expert Member

  #12
  Oct 24, 2012
  Joined: Sep 24, 2011
  Messages: 339
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  He hee... Kuna rafiki yangu ameoa hivi karibuni, jamani, mkewe vyombo alivyopewa sijui kitchen party, kaviandika majiina...kila kitu alichopewa kama zawadi kwao kaviorodhesha...jameni, mguu nje mguu ndani, yuko tayari kwa lolote...hii hatari sana! na kama ndo hivi, huo urafiki utatoka wapi?! Mungu atusaidie jamani...
   
 13. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #13
  Oct 24, 2012
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  Kha? ....yaani RR ndio ame myuti kimoja?.....umejaribu kumsalimia? Utakuwa umemkwaza wewe.

  'Kubanana' sana kwenye relationship kuna create tensions ambako hupelekea 'asiyesikilizwa' ku opt -mnuno!- kama silaha ya muda...
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 14. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #14
  Oct 24, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  @RR yupo wapi kwanza?
   
 15. LINCOLINMTZA

  LINCOLINMTZA JF-Expert Member

  #15
  Oct 24, 2012
  Joined: Mar 15, 2011
  Messages: 1,640
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0

  Mambo huaanza polepole dada, lakini akina dada wengi si wasikivu na wazigatiaji. Leo chumvi kwenye chai nakuambia ' switie eeh si umeweka chumvi humu dear but ni tamu kidogo", unarudia kesho yake na kesho yake na tena na tena. Hiyo switie inabadilika inakuwa sweat unless otherwise usiwe mwanaume wa ukweli. Huo ndio ukweli. Wengine haturudi maneno yaleyale kwa tukio lililojirudia mara tatu. Ujumbe wako umekamilika na wala usiendelee.
   
 16. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #16
  Oct 24, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  urafiki hakuna hapo
   
 17. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #17
  Oct 24, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  huyo atakuwa na pepo mtu hawezi kukuonya kirafiki arudie kosa bwana
   
 18. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #18
  Oct 24, 2012
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180
  Ni ajabu saana jinsi watu ambao hawapo na wala hawajawahi ingia katika ndoa wanavyokuwa haraka saana ku judge... HAKUNAGA Taasisi kama ndoa, unaweza ukajuwa kabisa you are sleeping with an enemy, unaweza kabisa ukawa humpendi na yupo wa nje ambaye unampenda, unaweza hata usijue ni kwa nini upo hapo na huyo kwa nini, visa kila siku... Vituko kila siku ila mwisho wa siku kwa yale ambayo ni msingi kama wakati ma majukumu, magonjwa, matatizo mpo pamoja.

  Kwa mjuvi (na wengi wa wanandoa ni wajuvi); anaona ni bora abaki hapo hapo anaungua kidogo huku anajipoza kwa namna yeyote anayojua yeye (iwe ku cheat, iwe pombe, iwe masherehe kila siku, iwe kujilimbikizia mali, iwe kutupia furaha kwa watoto, iwe kujijenga at a personal level n.k)... Anaona bora tu kubanana hapo hapo akiwa na imani ndani yake kuwa "Liwalo na Liwe!"

  Kwa wale wanaodhani kuwa kuna "A perfect marriage" (mara nyingi hii huwa kwa wadada ambao hawajawahi kuolewa); naomba niwaarifu hakuna kitu kama hicho - ni rare saana. Ila kuna making your circumstances perfect for the sake of your marriage...

  Kwa wale ambao wamejitahidi saana kujenga urafiki kati yao... Hao ndio huwa na bahati na amani, mana ni rahisi kumuelewa na ryme na rafiki kuliko kuchukulia tu kama mwenza.
   
 19. LINCOLINMTZA

  LINCOLINMTZA JF-Expert Member

  #19
  Oct 24, 2012
  Joined: Mar 15, 2011
  Messages: 1,640
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Ungeswitch kidogo ukawa Mwanaume halafu ukaatoa maelekezo kwa mpenzi wako/mke wako ungeona hayo. Mara nyingine huwa najiuuliza hivi wanawake wanatabia ya kusahau sana?
   
 20. Mkeshahoi

  Mkeshahoi JF-Expert Member

  #20
  Oct 24, 2012
  Joined: Jan 4, 2009
  Messages: 2,494
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Ukisikia yowe gizaniiiiii.....?!???:majani7:
   
Loading...