Kila shetani na mbuyu wake

Kila shetani na mbuyu wake

Lol
tenor(2).gif


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Okay kwa ambao hamna Mb ni hivi.
Ni harusi, mdada kavaa gauni na shela (kama bibi harusi wanavyovaaga) na mbaba ambaye naweza kusema ni "jitu la miraba minne" ana mwili mkubwa, na kitambi kama chote.
Sasa wanaingia ukumbini wakicheza kwaito na wageni wana washangilia.
Naambatanisha na picha zao.
View attachment 1007295View attachment 1007297

The Hate U Give, Little Infants F's Everyone.
Ubarikiwe [emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom