hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 54,381
- 80,394
- Thread starter
- #41
For sure chiefDah kweli mkuu hapa nikuzisaka tu hizo pesa..
#Muungwana_John
Sent using Jamii Forums mobile app
For sure chiefDah kweli mkuu hapa nikuzisaka tu hizo pesa..
#Muungwana_John
Dah !! Jitahidi aise .. huo mwili sio mzuri kabisaa ...
Ahsante kwa msaada maana hizi mb zikiisha na hivi vyuma namna vilivyokaza ingekuwa shidaOkay kwa ambao hamna Mb ni hivi.
Ni harusi, mdada kavaa gauni na shela (kama bibi harusi wanavyovaaga) na mbaba ambaye naweza kusema ni "jitu la miraba minne" ana mwili mkubwa, na kitambi kama chote.
Sasa wanaingia ukumbini wakicheza kwaito na wageni wana washangilia.
Naambatanisha na picha zao.
View attachment 1007295View attachment 1007297
The Hate U Give, Little Infants F's Everyone.
Dah mtaani wanakuita big popa tu..wanawake ndio kabisa wote unawaita mashemeji ...Nani anataka mwili huo mkuu hatuna budi kupungua ila mie sijafika huko mzee.Dah !! Jitahidi aise .. huo mwili sio mzuri kabisaa ...
Vipi ukiwa na mwili kama huo una kutana na changamoto zipi katika jamii ... including masuala ya uchumi na mahusiano !?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaa nilikuwa nataka nijue hapo kwa wanawake aise ... though umesema kwamba wewe sio mnene kama jamaa basi nime stop maswaliDah mtaani wanakuita big popa tu..wanawake ndio kabisa wote unawaita mashemeji ...Nani anataka mwili huo mkuu hatuna budi kupungua ila mie sijafika huko mzee.
Sent using Jamii Forums mobile app
kwa niaba ya watumiaji wa freebasics napenda kusema asante sana...Okay kwa ambao hamna Mb ni hivi.
Ni harusi, mdada kavaa gauni na shela (kama bibi harusi wanavyovaaga) na mbaba ambaye naweza kusema ni "jitu la miraba minne" ana mwili mkubwa, na kitambi kama chote.
Sasa wanaingia ukumbini wakicheza kwaito na wageni wana washangilia.
Naambatanisha na picha zao.
View attachment 1007295View attachment 1007297
The Hate U Give, Little Infants F's Everyone.
Naona watumiaji wa free basic mpo wengi sana humu .... Ajabu ukianzishwa uzi wawatu wenye maisha mazuri wa Jf ... members wote wa jf utawakuta wamehamia kwenye huo uzi ..... wanaanza kushindana kutaja Aina za magari .simu za bei ghari na viwanja wanavyopenda kwenda (kidding)kwa niaba ya watumiaji wa freebasics napenda kusema asante sana...
Hahah haya bana mkuuHahaa nilikuwa nataka nijue hapo kwa wanawake aise ... though umesema kwamba wewe sio mnene kama jamaa basi nime stop maswali
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahaha! Asante kwa kushukuruAhsante kwa msaada maana hizi mb zikiisha na hivi vyuma namna vilivyokaza ingekuwa shida
Naona watumiaji wa free basic mpo wengi sana humu .... Ajabu ukianzishwa uzi wawatu wenye maisha mazuri wa Jf ... members wote wa jf utawakuta wamehamia kwenye huo uzi ..... wanaanza kushindana kutaja Aina za magari .simu za bei ghari na viwanja wanavyopenda kwenda (kidding)
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaa ... hata mimi samsung galaxy s10 yangu naona ipo Low piahahaha tumeamua kumpa mark zuckerberg our privacy,,,
on internet You can be anything you want to be,ingawa haiondoi uhalisia kumbe ni watumiaji wa tecno za button.
when in rome do as roman,,hahaha iphone yangu battery low
Asante na mimi wa frii besikis nimefaidi uzi 😂Okay kwa ambao hamna Mb ni hivi.
Ni harusi, mdada kavaa gauni na shela (kama bibi harusi wanavyovaaga) na mbaba ambaye naweza kusema ni "jitu la miraba minne" ana mwili mkubwa, na kitambi kama chote.
Sasa wanaingia ukumbini wakicheza kwaito na wageni wana washangilia.
Naambatanisha na picha zao.
View attachment 1007295View attachment 1007297
The Hate U Give, Little Infants F's Everyone.
Huko friibasiksi nipelekeni na mm basi maan kifurushi changu kinaisha Leo SAA NNE asubuhiAsante na mimi wa frii besikis nimefaidi uzi [emoji23]
kikiisha unga kingine huku ni kwa sisi hali ya chiniHuko friibasiksi nipelekeni na mm basi maan kifurushi changu kinaisha Leo SAA NNE asubuhi
The Hate U Give, Little Infants F's Everyone.
Na mimi ni wa maisha ya chini . Msinitenge natamani kukutana na wenzangu.kikiisha unga kingine huku ni kwa sisi hali ya chini
Yani miaka yote hiyo huijui leo na wewe unajiita wa maisha ya chini? Ina maana hujawahi ishiwa bundle kabisaNa mimi ni wa maisha ya chini . Msinitenge natamani kukutana na wenzangu.
The Hate U Give, Little Infants F's Everyone.