Kila shetani na mbuyu wake

Kila shetani na mbuyu wake

Kumbe sina haja ya kutafuta SIX PACKS.[emoji3][emoji3]...Ila Wanawake Salute kwenu maana hii njemba.mmmhhh..

#Muungwana_John
 
Sasa jeee niache kununua beer mm nipunguze stress zangu na kuongeza damu eti ninunue bundle la kudownload video jf hapana kwakweli
Hahaa wewe ukose hela ya bundle kweli !! ... ila sawa sishangai maana nimeshajibiwa kwamba ni rahisi kununua wine kuliko bundle

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom