Kila ninayemtongoza ana mtu

Kila ninayemtongoza ana mtu

Wakuu, mimi nashindwa kuelewa inakuaje kila msichana nayemtongoza ananambia ana mtu.

Niko chuo mwaka wa kwanza hadi sasa nimetokea wasichana kama watatu ila kila mmoja ananambia ana mtu na kunitolea nje.Pia kabla ya kufika chuo ilikuwa hivyo hivyo.

Naombeni mawazo yenu wana MMU na mimi niko vzuri tu kimuonekano na nahitaji kuwa na msichana kwa sasa.

Endelea kujenga mazoea nao, ukaribu ukizid wanageuka kuwa single, vuta subira
 
kwanza kabisa nikupe onyo!

usithubutu kumuuliza demu kuhusu mahusiano yake wakati unamtongoza
maana nyie huwa hamchelewi kuuliza "una boyfriend?"

utakuwa unaambulia majibu hayo hayo unayopewa..
me situmiagi njia hyo mkuu
 
Mwaka wa kwanza,hivi unajua kwel maana ya supp,carry,na kudisco. Ndo nyie mnaochunwa mpaka huruma,mnapangwa folen ndefu yenye zamu.
Usimtishe mkuu..
Mwaka wa kwanza ndio mwaka wa kujifunza maisha ya chuo
Muache kwanza afanye anayoyatamani hizo Supplementaries, Carry-Overs zitambadilisha hukohuko mbele kwa mbele..
 
Usimtishe mkuu..
Mwaka wa kwanza ndio mwaka wa kujifunza maisha ya chuo
Muache kwanza afanye anayoyatamani hizo Supplementaries, Carry-Overs zitambadilisha hukohuko mbele kwa mbele..
Well said huyu jamaa ndomtu humu ndani wngn ni virus tu
 
me situmiagi njia hyo mkuu
Ila mkuu..!
utundu wa maneno ya kuongea na demu.. ni uwezo binafsi wa mtu ambao haufundishwi..
Sasa wewe bhana usilazimishe kitu usichokiweza.. maana hata confidence ya kuongea na dem ni tabia ... sasa sidhani kama una tabia ya kujichanganya kuongea na madem katika mazungumzo ya kawaida au unakutana nao wakati wa kuwatongoza tu!
 
Ukimtisha ndo vizuri papara zitamtoka atawaendea kwa akili sio kwenda kizembe zembe lazima ale mtoso. Na masomo atazingatia pia
Usimtishe mkuu..
Mwaka wa kwanza ndio mwaka wa kujifunza maisha ya chuo
Muache kwanza afanye anayoyatamani hizo Supplementaries, Carry-Overs zitambadilisha hukohuko mbele kwa mbele..
 
Wakuu, mimi nashindwa kuelewa inakuaje kila msichana nayemtongoza ananambia ana mtu.

Niko chuo mwaka wa kwanza hadi sasa nimetokea wasichana kama watatu ila kila mmoja ananambia ana mtu na kunitolea nje.Pia kabla ya kufika chuo ilikuwa hivyo hivyo.

Naombeni mawazo yenu wana MMU na mimi niko vzuri tu kimuonekano na nahitaji kuwa na msichana kwa sasa.

Ungetengeneza mahusiano yako na Mungu wako kwanza. Mpokee YESU awe Bwana na mokozi wa maisha yako, halafu yeye atakuongoza katika kila hatua. Mambo ya uzinzi yapitwa na wakati, hayana maana yoyote. Utaharibikiwa tu kwenye masomo yako
 
Back
Top Bottom