Kila ninayemtongoza ana mtu

Kila ninayemtongoza ana mtu

Usimtishe mkuu..
Mwaka wa kwanza ndio mwaka wa kujifunza maisha ya chuo
Muache kwanza afanye anayoyatamani hizo Supplementaries, Carry-Overs zitambadilisha hukohuko mbele kwa mbele..
mwambie mkuu
 
Ila mkuu..!
utundu wa maneno ya kuongea na demu.. ni uwezo binafsi wa mtu ambao haufundishwi..
Sasa wewe bhana usilazimishe kitu usichokiweza.. maana hata confidence ya kuongea na dem ni tabia ... sasa sidhani kama una tabia ya kujichanganya kuongea na madem katika mazungumzo ya kawaida au unakutana nao wakati wa kuwatongoza tu!
mimi najichanganya nao sana na marafiki zangu wengi wasichana
 
Vaa vizuri ,paka mafuta, jipulizie unukie ,ongea kama mwanaume unaejitambua acha kuwatizama sana wadada, utapata mrembo mzuri utafurahi na roho yako.sawa mwanachuo?
vyote nafanya mkuu
 
yani una hela alaf unahangaika kutongoza...acha wehu....mbona watoto kibao wanauza papuch....au shida yako kutongoza...?kama shida yako papuchi ibuka pande zile ukanunue URODA
me sitaki Malaya mkuu
 
Soma ulimaliza shule hao wote wanaokukataa na wengne wote watakuwa wako, muhim uwe na pesa
 
Dogo soma kwanza... acha hayo mambo ukiwa chuo. Uta disco man.
Ww soma kwanza.. tafuta kazi... pata mkwanja wa maana... mbona watajileta wenyewe... utawala mpaka na mayai yao...
kusoma nasoma na najitambua sana
 
Mkuu akija kwa njia ya mkwanja usijali mpokee kwa tahadhari ila akikupa piga shoo yakiutuuzima utakuta siku nyingine kakija wakati wa kuondoka unapewa bye bye ... Haombi hata nauli
sawa mkuu ila lazima akubali kwanza
 
Hivi huwa mnatongozaje au zile za kulialia hadi kupiga goti au kusema nakuona kwenye glasi

Hizo za kizamani

We tafuta mpunga tu mwite pub MPE wine fresh akilainika mvute chemba piga mashine kibingwa kesho yake utashangaa unaitwa bebi

So hapo kazi kwako tu kusugua haswa
taken
 
Back
Top Bottom