Man Ngosha
JF-Expert Member
- May 2, 2012
- 219
- 69
Habari wana Jf,
Mimi nimekuwa katika mchakato wa kutafuta mwenzi wa maisha wa maisha kwa muda mrefu na nikaweka malengo ya kwamba kabla ya kumalizika mwaka 2012 niwe nimeshampata mtarajiwa wangu,tatizo ninalokumbana nalo ni kuwa kila msichana ninayemwona na kuvutiwa naye,nikitoa proposal yangu anakuwa kwenye mahusiano tayari na baadhi hunitambulisha hata kwa wavulana wao jambo ambalo linanikatisha tamaa sana!
Naamini hapa kwenye jukwaa kuna wazoefu wa mambo haya,naomba mnisaidie wapi ninakosea mwenzenu ukizingatia ninapoteza muda wa kujenga ukaribu na mtu husika but mwisho wa siku sifanikiwi!
NOTE:Nahitaji msichana mwenye muelekeo chanya wa maisha,na sio bora msichana!!!