Kila ninayempenda,ana mtu wake!!!

Kila ninayempenda,ana mtu wake!!!

Akina Mzabzab wapo wengi. Usitegemee kupata ambaye hana mtu. Unachotakiwa ni kufanya mapinduzi then groom your wife to be.
wanaanza kugongwa wakiwa na umri wa 13, tena huwa wanachanganyikiwa kweli.
 
Unaacha kuwa busy kutafuta pesa,unang'ang'ana kutafuta wanawake!
 
Kafanye booking wodi ya wazazi, Kakizaliwa tu ka kike fasta fanya booking. Nadhani ni hapo tu ndiyo unaweza kumpata asiye na mtu wake.

Hahah Binti.com namm nlivokua na plan ya kukusalandia...do u min ushabukiwa? Eniwei mi naeka booking utapoachika tu...
 
Last edited by a moderator:
Muombe Mungu,mke mwema anatoka kwa Mungu, Unachokiomba ndo unachopewa!
 
Habari wana Jf,
Mimi nimekuwa katika mchakato wa kutafuta mwenzi wa maisha wa maisha kwa muda mrefu na nikaweka malengo ya kwamba kabla ya kumalizika mwaka 2012 niwe nimeshampata mtarajiwa wangu,tatizo ninalokumbana nalo ni kuwa kila msichana ninayemwona na kuvutiwa naye,nikitoa proposal yangu anakuwa kwenye mahusiano tayari na baadhi hunitambulisha hata kwa wavulana wao jambo ambalo linanikatisha tamaa sana!
Naamini hapa kwenye jukwaa kuna wazoefu wa mambo haya,naomba mnisaidie wapi ninakosea mwenzenu ukizingatia ninapoteza muda wa kujenga ukaribu na mtu husika but mwisho wa siku sifanikiwi!

NOTE:Nahitaji msichana mwenye muelekeo chanya wa maisha,na sio bora msichana!!!
Fuata formula hii, kila mvulana ana madem wawiliau watatu, hii ina maana hakuna aliye single, ukitaka kutoka, rudi kwenye biology usome survival for the fittest, au tuma namba redion waje wenyewe
 
Hawa dada zetu bado akili zao hazijatulia, kwani wanashindwa kujiheshimu na kutambua umuhimu wa kuilinda hadhi yao na wakumbuke kuwa wapo wengi kuliko wanaume na wanaume ambao wapo tayari kuoa ni wachache. Ila jambo la msingi ni kutuliza akili kwani wanawake wapo wengi mno wala usipate presha na kuumiza akili kwani mwisho utapata tabu bure na hawakusaidii. Tulia kwani wa kwako yupo achana na viruka njia waanaangalia maslahi kutoka kwako.
 
Pia kuna kitu kinaitwa 'mapinduzi'. Usikisahau. Ni muhimu kwa ustawi wa jamii..

Ajiandae tu na mapambano ya mapinduzi, wengi walipindua ila harakati za waliopinduliwa kurudisha jimbo zikawashinda wakaishia kuachia jimbo lichukuliwe na wa awali

Many are the plans of man but it's God's purpose that prevails
 
pole piga moyo konde utampata atakae kufaa na muombe mungu sana
 
Kafanye booking wodi ya wazazi, Kakizaliwa tu ka kike fasta fanya booking. Nadhani ni hapo tu ndiyo unaweza kumpata asiye na mtu wake.

Hahahahahahahah!!! Umeniacha hoi!! Hilo nalo neno, maana chema hutokiona mwenyewe, na wengine pia. Teua windo lako na kabla hujaanza ukaribu na windo lako hakikisha unataarifa muhimu kama how serious relationship yake ipo ujipimie uwezo wako wa kupindua. Usimuonyeshe ur desperation

Many are the plans of man but it's God's purpose that prevails
 
Hapo juu kuna love connect embu ingia huko naona panakuhusu
 
Siamini kama umekosa mchumba au mtu wa kuoa.!..Ila naomba nikuambie kuwa itakuchukua muda kumpata kabisa asiye na wake ( i mean hana boy friend)...kama walivosema wadau hapo juu..wewe akikuambia ana mtu usikate tamaa ongeza speed..watu wengi wameejiegesha tu...(ukweli wako na uthabiti wa nia yako utakuokoa)...Utafutaji mwema!!!
 
Habari wana Jf,
Mimi nimekuwa katika mchakato wa kutafuta mwenzi wa maisha wa maisha kwa muda mrefu na nikaweka malengo ya kwamba kabla ya kumalizika mwaka 2012 niwe nimeshampata mtarajiwa wangu,tatizo ninalokumbana nalo ni kuwa kila msichana ninayemwona na kuvutiwa naye,nikitoa proposal yangu anakuwa kwenye mahusiano tayari na baadhi hunitambulisha hata kwa wavulana wao jambo ambalo linanikatisha tamaa sana!
Naamini hapa kwenye jukwaa kuna wazoefu wa mambo haya,naomba mnisaidie wapi ninakosea mwenzenu ukizingatia ninapoteza muda wa kujenga ukaribu na mtu husika but mwisho wa siku sifanikiwi!

NOTE:Nahitaji msichana mwenye muelekeo chanya wa maisha,na sio bora msichana!!!

wewe naye umeyataka , watu tusio na watu tupo we umekalia kupenda wenye watu wao, subiri wakupe maumivu ya moyo yasiyopona , come this way bana ,y ujitese kwenye vya watu
 
Hahahaha hapa pia time factor must be applied,yaan asichelewe chelewe akaeka vituo vingi njian inabidi akianza speed 180 mwendo ni ule ule,hata akija kuovertakiwa on the way yeye awe na licence inayotambulika so hii si shida sana aisee

pleaz naomba 2wacliane
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom