wewe naye umeyataka , watu tusio na watu tupo we umekalia kupenda wenye watu wao, subiri wakupe maumivu ya moyo yasiyopona , come this way bana ,y ujitese kwenye vya watu
naomba email addres yako
wewe naye umeyataka , watu tusio na watu tupo we umekalia kupenda wenye watu wao, subiri wakupe maumivu ya moyo yasiyopona , come this way bana ,y ujitese kwenye vya watu
Akina Mzabzab wapo wengi. Usitegemee kupata ambaye hana mtu. Unachotakiwa ni kufanya mapinduzi then groom your wife to be.
wanaanza kugongwa wakiwa na umri wa 13, tena huwa wanachanganyikiwa kweli.
Maisha ni Survival of the the fittest!!!!!!!! Pokonya mtu! Ukingojea kiupole utakufa alone!
Inawezekana kabisa pesa kwake sio tatizo, ndio maana anatafuta mtu wa ukweli mwenye mapenzi ya dhati atumie naye, kwani pesa kazi yake ni matumizi bana asikwambie mtu tena na mtu unayempenda na kupendana kwa dhatiUnaacha kuwa busy kutafuta pesa,unang'ang'ana kutafuta wanawake!
Siamini kama umekosa mchumba au mtu wa kuoa.!..Ila naomba nikuambie kuwa itakuchukua muda kumpata kabisa asiye na wake ( i mean hana boy friend)...kama walivosema wadau hapo juu..wewe akikuambia ana mtu usikate tamaa ongeza speed..watu wengi wameejiegesha tu...(ukweli wako na uthabiti wa nia yako utakuokoa)...Utafutaji mwema!!!
Unaona sasa !!!! wanawake wapo, tena wako single tu kama SUPRISE!!!, harafu unasema umepewa makeke ya mabavuni na wengine, weeeeeeeeeeeewe kuyau huku pande hii kuna single girls kibao, si unaona !!!?wewe naye umeyataka , watu tusio na watu tupo we umekalia kupenda wenye watu wao, subiri wakupe maumivu ya moyo yasiyopona , come this way bana ,y ujitese kwenye vya watu
Akina Mzabzab wapo wengi. Usitegemee kupata ambaye hana mtu. Unachotakiwa ni kufanya mapinduzi then groom your wife to be.
wanaanza kugongwa wakiwa na umri wa 13, tena huwa wanachanganyikiwa kweli.
Comment yako ina uzito sana, nimeipenda , big up KING'ASTIna akija mwingine mwenye speed zaidi ujue nae atamuovertake na kurudi square one.
embu fanya kweli aise!! hata mimi nnataka msaada ati,PM e-mail!Hebu weka CV yako nione jinsi ya kukusaidia.......
embu fanya kweli aise!! hata mimi nnataka msaada ati,PM e-mail!
Hii ni kali, nami itabidi nifuate ushauri wako baada ya kukumbwa sana na matatizo kama ya huyu mtoa uzi.Kafanye booking wodi ya wazazi, Kakizaliwa tu ka kike fasta fanya booking. Nadhani ni hapo tu ndiyo unaweza kumpata asiye na mtu wake.
Nina booking ya Babu Asprin tayari, labda kama utakubali ku-que nyuma yake.
Unapenda vinavyoelea wewe. Hakuna ready made man or woman. Angalia basics kama mtazamo na akili, ucha Mungu na maadili. Mengine yote mtamalizana taratibu. Kuna watu walipendwa wakiwa wachafu kama vitimoto lakini wakabadilishwa taratibu (groomed)
naomba email addres yako
anzia hapo email ya nini at foundation stage