Kila ninayempenda,ana mtu wake!!!

Kila ninayempenda,ana mtu wake!!!

Jitutumue tu mkuu utapata, kinadada wengine lazima akupe mtego wa kukuambia ana mtu hivyo ni jukumu lako kukomaa nae tu though kabla ya kumweleza kilicho moyoni ni vizuri ukajenga mazoea nae kidogo lakini si yale ya kupitiliza mpaka akakuona kaka yake (mwisho wa siku unaweza shindwa kuendelea kwa kuwa amekuweka kwenye ukaka), tatizo kuna wanaume wengine anapanga kabisa kwamba akipata appointment ya kwanza tu amalize kila kitu kilichomo moyoni huku akipanga na kiasi cha fedha cha kutumia.

Haya mambo wakati mwingine ni kama kucheza karata tatu, day one unaonana nae unapiga nae story (una build trust) na kufahamu interest zake huku ukijipanga sasa for next step
 
Inawezekana kabisa pesa kwake sio tatizo, ndio maana anatafuta mtu wa ukweli mwenye mapenzi ya dhati atumie naye, kwani pesa kazi yake ni matumizi bana asikwambie mtu tena na mtu unayempenda na kupendana kwa dhati

kaka huyo unayemjibu ni first year bado hajajua mapenzi yanarun dunia pengine kuliko hata siasa
 
mapenzi hayapo fair,we kaza tu uzi hata akikwambia ana mtu wake,akikubali weka mimba
Habari wana Jf,
Mimi nimekuwa katika mchakato wa kutafuta mwenzi wa maisha wa maisha kwa muda mrefu na nikaweka malengo ya kwamba kabla ya kumalizika mwaka 2012 niwe nimeshampata mtarajiwa wangu,tatizo ninalokumbana nalo ni kuwa kila msichana ninayemwona na kuvutiwa naye,nikitoa proposal yangu anakuwa kwenye mahusiano tayari na baadhi hunitambulisha hata kwa wavulana wao jambo ambalo linanikatisha tamaa sana!
Naamini hapa kwenye jukwaa kuna wazoefu wa mambo haya,naomba mnisaidie wapi ninakosea mwenzenu ukizingatia ninapoteza muda wa kujenga ukaribu na mtu husika but mwisho wa siku sifanikiwi!

NOTE:Nahitaji msichana mwenye muelekeo chanya wa maisha,na sio bora msichana!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom