Transcend
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 20,550
- 63,061
Mkuu :Wajuzi naomba elimu yenu hapa;
Huyu Girl Friend wangu tuko naye mikoa tofauti kwa sababu za kikazi, ninampenda sana na naamini pia ananipenda sana. Tuko kwenye mahusiano mwaka nanusu sasa
Tuna kautaratibu kakukutana twice in a month, na mara zote mimi huwa namfuata.
Linalonishangaza, na yeye pia anashangaa, ni kuwa mara nyingi sana ninapofunga safari kwenda kwake huwa, unexpectedly, anaingia katika siku zake. Hali hii huwa inanipasa kuspend siku kadhaa kama 4 nakuendelea ili nikidhi haja zetu baada ya menstruation.
Najiuliza hali hii ni mshtuko, nervorseness, exitment au jambo la hila?(God forbid).
Lakini je kuna suluhisho gani la hali kama hii?
Ushauri wenu wakuu!
C&P
Kwanini usifanye kumshtukiza?
Yaani kama umetoka kwake akiwa yuko kwenye bleed..wewe unapumzika siku 3 mzigo ukauke..
Unafanya ziara ya kushtukiza kama mzee chattle...
Jaribu hii..[emoji3]