Kila nimpendae yuko kwenye relationship!!!!!

Wote wako kwenye relationship its OK!

Umejali kujua kuwa kufika kwenye realtionship walizopo walitokewa wapi?

Kwenye realtionship nyingine tofauti na hizo? Au hawakuwa na realtionship kabisa?

Natumaini umenipta ... go go go take your chance ...!!
 
Kweli, sahivi watu wengi wapo kwenye muhusiano tena wengine zaidi ya mmoja. We tulia, utapata binti chipukizi au aliyeachika.
 
asante king kong,mi nina kazi japo ya kawaida tu!hapa nilipo nimekata tamaa kutongoza tena

ATAFUTAE HACHOKI HATA HAKICHOKA AMESHAPATA, Huwa hawatokei muda unaotaka wewe ni sawa na mtu anazunguzunguka huku na kule katika muda ambao hakutegemea anaokota kitu cha thamani hivyo na wewe unaweza shangaa siku isiyojua watu unakutana na kitu kinaonyesha kukujali japo kwa salaam nzuri from there mnaanza kuzoeana. Inawezekana unapapara kila ukikutana na mtu unamwambia day 1 tu nataka kukuoa na wenyewe wamekua wajanja wanajua wengi wanaokuja kwa gia hiyo ni waharibifu kumbe umemfuata kwa nia njema. Fanya hivi mfanye awe RAFIKI YAKO WA KARIBU (Mzoeane kidogo) kisha inakuja level ya UCHUMBA then MKE sasa wewe unavuka zote na ukute hata hakujui vizuri unachotakiwa ni kumfanya akuelewe kwanza ili ukija ku-introduce issue inakuwa safi. SUBIRA HUVUTA HERI na MVUMILIVU HULA MBIVU japokuwa AKISUBIRI SANA bila kuchukua hatua HULA ZILIZOOZA.
 
Nadhani ujajipanga vyema kwa sababu hata aliye kwenye mahusiano unaweza kumhamisha kama utajipanga na wengine wanasema wako kwenye mahusiano kukwepa usumbufu.

Jipange tu ni vigumu sana na niwachache watakao kwambia wako single papo hapo! Keep fighting unajua wanawake wengine wanapenda watu wasio kata tamaa!
 
Hahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahaha
The boss! don kill him
watu wenye best qualifications
huwa hawakosi kazi
na kazi sometimes zinawatafuta wao....

but kamaa vyeti vyako vya kuunga unga
kila ofisi utakayokwenda utaambiwa hakuna kazi...
tumeshaajiri.....

go figure out that.....
 
Habari wadau!!!
Ama kweli wakati unahitaji kitu hakipatikani na wakati huitaji ndo kinapatikana kwa wingi!!!Mi nimekuwa single kwa muda wa zaidi ya miezi sita sasa,nimeamua niingie tena kwenye mahusiano mapya baada ya kutengana na girlfriend wangu wa awali,kuna binti nilitokea kumpenda sana na nikawa nae urafiki kwa muda then baada ya muda nikarusha topic yangu,akanambia tayari kuna mtu yuko nae tena akanitambulisha kwake!!kama hiyo haitoshi,kila ninaempenda na kumweleza nia yangu hali imekuwa ile ile!!naumia sana na upweke,ni wapi ninapokosea wadau,au nini tatizo?
Pole! Haifai kukuripukia mahusiano, if relationship does not work wala usilazimishe. Miezi sita sioni kama ni mingi kama unahitaji mtu wa uhakika.
 
asante Jodoki,nimekupata sana!!siku nikimpata,milele nitafurahi mieeeee!!!!
 
Habari wadau!!!
Ama kweli wakati unahitaji kitu hakipatikani na wakati huitaji ndo kinapatikana kwa wingi!!!Mi nimekuwa single kwa muda wa zaidi ya miezi sita sasa,nimeamua niingie tena kwenye mahusiano mapya baada ya kutengana na girlfriend wangu wa awali,kuna binti nilitokea kumpenda sana na nikawa nae urafiki kwa muda then baada ya muda nikarusha topic yangu,akanambia tayari kuna mtu yuko nae tena akanitambulisha kwake!!kama hiyo haitoshi,kila ninaempenda na kumweleza nia yangu hali imekuwa ile ile!!naumia sana na upweke,ni wapi ninapokosea wadau,au nini tatizo?

Ngosha!!!!!! wasukuma ninyi damu lala sana, alafu mnapenda wanawake weupe sana, changamka kijana
 
mleta mada tatizo lako unapenda UGALI. Nakushauri upende UNGA na MAJI ili na wewe ujipikie ugali wako.
 
Wewe utakuwa ni wale wanaotongoza kwa kutumia stori za siasa na kilimo. Unawatokea mademu na story za M4C na kaulimbiu za kilimokwanza??
 
Si kweli aritoine,@wadau wengine;mimi ni mtu makini sana,nimeelimika vya kutosha,qualifications zangu za kutosha@the boss.Nadhan tu wakati wangu bado!pia,nahc uharaka wangu juu ya kumpata aliye sahihi ni tatizo pia!!but naona kama napungukiwa na kitu muhimu sana,hasa ninapowaona rafiki zangu wakifurahia na gf wao!!!anyway,thanx for the constructive advice
 
watu wenye best qualifications
huwa hawakosi kazi
na kazi sometimes zinawatafuta wao....

but kamaa vyeti vyako vya kuunga unga
kila ofisi utakayokwenda utaambiwa hakuna kazi...
tumeshaajiri.....

go figure out that.....

Ujue the boss we ni mkali sana, naomba nikutunuku street degree
Ya heshima
 
Miaka 27 ndio unaanza kuchachawa!! Mi nilidhani una miaka 40 hivi... Usikurupuke ukaja ishia opoa balaa... Ila kuna msemo unasema MWENYE KISU KIKALI DAIMA NDIO ANAKULA NYAMA..! Acha woga, panga vesi zako vizuri utashangaa binti anatoka aliko anakufuata wewe!!
 
Just be who you are. The right one will come your way. Keep on struggling ma Man
 
pole sana, wenzako huuliza kwanza kabla ya kukaa naye muda mrefu, unapojifanya marafiki kwa muda mrefu hiyo ndiyo tatizo lake, lazima kama anamtu atakwambia umechelewa hivyo una mpa company tu,
 
Back
Top Bottom