Kila nikipata rafiki JF ananikimbia

Kila nikipata rafiki JF ananikimbia

Thanks Ngabu,wewe kiboko nakuzimia sana tena sana mazee,basi sawa Calamari samaki wanaleta nyege nawaogopa sana coz sina mpenzi,labda niende Ohio ingawa sio zangu bro.

Usijali bana...we njoo tu. Kuna totoz flani hivi ntaziita zije zitupe kampani....

Kuna Leila, Tumaini, Kokuberwa, Maya, Tatu, Flora, Letty, na Najat....

Chagua mmojawapo hapo.

Au unataka wawili?
 
Usijali bana...we njoo tu. Kuna totoz flani hivi ntaziita zije zitupe kampani....

Kuna Leila, Tumaini, Kokuberwa, Maya, Tatu, Flora, Letty, na Najat....

Chagua mmojawapo hapo.

Au unataka wawili?
Hahaaaaa haaaaaaaaa wewe Ngabu nakuogopa sana,anyway naogopa wanavyokupapatikia,naweza kuja huko halafu ukalala nao wooote kumi,nasikia una kitu inaitwa ngekewa?
 
Hahaaaaa haaaaaaaaa wewe Ngabu nakuogopa sana,anyway naogopa wanavyokupapatikia,naweza kuja huko halafu ukalala nao wooote kumi,nasikia una kitu inaitwa ngekewa?

Hahahaaaa mi hamna kitu bana.

Ni swagga tu.

Ngoja kuna siku ntakutonya nikienda kwenye chimbo moja hivi...lina totoz kali balaa.
 
Kupitia majina ya watu, picha wanazotumia, na mawazo yao humu, unajikuta unatengeneza taswira ya mtu kichwani. Sasa ikitokea asifikie taswira uliyompa, au akapitiliza, inakuwa balaa.
Kweli kabisa unaweza fikiria ni bonge la mtu kumbe umempa taswira ya nguvu,,ila kuna mmoja mi nilimuona aisee taswira niliyompa ni hiyo hiyo na nilivyomuona lo bonge la bwana
 
Naandika kwa masikitiko makubwa! Wote ni wa ID ya zamani.

Wa KWANZA, Tulikuwa wapinzani lakini alinifwata PM. Ni kama MAXSHIMBA amfwate Faiza Foxy.

( Hivi MAXSHIMBA yuko hai jamani? Ana sauti flani amazing nilikuwa nasubiri aanzishe kanisa lake nihame kanisa mie)

Tulikuwa tunaongea sana PM, aliniambia anauza duka. baadae nikawa busy nikampa number yangu. Aka promise kupiga but he never called. Nilivyorudi JF akataka aone picha yangu. Nikampa my FB name nikamuuliza kwanini hunipigii? Akasema anaogopa kufwatiliwa na usalama wa taifa 😀 na urafiki ukaisha.

WA PILI anajua na hii ID ya sasa. Alikuwa type ya MshanaJr (ushirikina) Nikaona anajua mambo mengi nikamMP.

Tulikuwa marafiki wazuri, the type of people you could talk to all day. sikuwahi kukutana naye. Jamani sijawahi kupigwa fix na mtu kama huyu jamaa. He took advantage of my curiosity. Hapo ilikuwa tusafiri anipeleke Morogoro kunithibitishia uchawi 😀 . hapo nipo kwetu nawaza ntaondokaje nikaone uchawi mie!

Unfortunately urafiki wetu ulikufa kwasababu ilishindikana kuwa tu "marafiki". Wakati tunaagana akaniambia hatonifanyia madawa kama alimvyomfanyia cousin wake hadi akafa akaoza juu yake. Sijui kama anajua sikulala week nzima, nilihisi nikilala tu nageuka panya. I would like to talk to him again tho. Nimepoteza contacts zake na Naona ID yake kaikacha.

WA MWISHO ndo kaniacha hoi. Naye anajua hii ID.

Nilivyogundua JF nilikuwa namfwatilia, very intelligent, very interesting. Nilifikiri ni mbabu ana watoto na wajukuu, nikataka urafiki kama mjukuu wake, u know nilikuwa napenda kukaa na wazee ujifunze maisha. Lakini sio siku hizi, wazee wa siku hizi vilaza halafu Hawana adabu. Hata mke wake ukimwangalia unawaza "me mke mwenzio ooh".

Anyways, kumbe hata sio mzee ni kijana tu (kwa umri alionitajia) na kipaji chake. Nilikuwaga naibuka PM nikikwama kwenye mabishano ani boost point lol. Huyu ndo alinifundisha kuacha kuandika vifupi vya "u knw". Aliniambiaga Mara moja kuwa hapendi hadi Leo naandika vizuri.

baadaye I officially asked for friendship. Akakubali akasema alitaka urafiki toka zamani. Nikamwabia Nipe email yako nikutumie na picha. Nikamtumia. Na urafiki ukaisha hajawahi kunijibu tena 😀 .

Kwahiyo natangaza kususa urafiki na watu wa JF 🙁

On a serious note, nimetembelea account yangu ya zamani nashangaa is this really me?? Yani ni kama namsoma mtu tofauti. Nimebadilika sana. naona kama nimekuwa kilaza, lakini Kiswahili changu kimekuwa kizuri sijui nilikuwa naongeaje!!

So nimeamua niondoke humu Nikatembee huko duniani halafu nirudi kivingine. Baadae nichungulie hii account nione kama nimebadilika.

View attachment 448594
Haya
 
Nimeku PM kitambo sana ukanichunia mpaka leo. Sijui hilo unalizungumziaje pia?
 
Tatizo kuna li AJUZA linajiita mama face book 11,eti linaniamrisha mimi nisiliquote,daah kwanza nalijua mpaka kwao lina sura kama matapishi ya mlevi wa gongo,halafu limejipachika avatar sura ya Mwarabu,hahahaaaaaaaaa,baya ajabu linakazwa hovyo kwa shs 50000 linashikishwa ukuta kila dakika hapa mtaani kwetu,ati linajiamini na kuniijia PM kunionya,yaani mimi Karanja wa kutishwa na mnuka mbunye,tena muuzaji wa tigo na mbunye inayotoa funza?
Unaona sasa unaanza uchokozi wako.... Acha hizo bana
 
Kwani ni marafiki wa aina gani unawataka?unaishi kisiwa gani hadi ukose marafiki jamani.Mi najua urafiki huwa unakujaga tu automatically mkijikuta mnafanana interest basi mwawa marafiki.

Labda kama sijaelewa naomba mnieleweshe.
 
Kabla hujafunga kitabu cha marafiki wa JF, njoo PM basi, sitakuangusha( kwa sauti ya kaka yangu)....serious njoo mpendwa!
 
Back
Top Bottom