Kila nikipata rafiki JF ananikimbia

Duh? Hivi kwani sura inahitajika kwenye vigezo vya urafiki ama mapenzi?

Housegirl: Kama hujali jinsia basi mie naweza kuwa rafiki yako!
Nemo,sura kama yako hapo sichomoki kabisaaaaa,lakini sura kama nguzo ya umeme hapana.
 
Kupitia majina ya watu, picha wanazotumia, na mawazo yao humu, unajikuta unatengeneza taswira ya mtu kichwani. Sasa ikitokea asifikie taswira uliyompa, au akapitiliza, inakuwa balaa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom