Kila nikipata rafiki JF ananikimbia

Kila nikipata rafiki JF ananikimbia

Naandika kwa masikitiko makubwa! Wote ni wa ID ya zamani.

Wa KWANZA, Tulikuwa wapinzani lakini alinifwata PM. Ni kama MAXSHIMBA amfwate Faiza Foxy.

( Hivi MAXSHIMBA yuko hai jamani? Ana sauti flani amazing nilikuwa nasubiri aanzishe kanisa lake nihame kanisa mie)

Tulikuwa tunaongea sana PM, aliniambia anauza duka. baadae nikawa busy nikampa number yangu. Aka promise kupiga but he never called. Nilivyorudi JF akataka aone picha yangu. Nikampa my FB name nikamuuliza kwanini hunipigii? Akasema anaogopa kufwatiliwa na usalama wa taifa 😀 na urafiki ukaisha.

WA PILI anajua na hii ID ya sasa. Alikuwa type ya MshanaJr (ushirikina) Nikaona anajua mambo mengi nikamMP.

Tulikuwa marafiki wazuri, the type of people you could talk to all day. sikuwahi kukutana naye. Jamani sijawahi kupigwa fix na mtu kama huyu jamaa. He took advantage of my curiosity. Hapo ilikuwa tusafiri anipeleke Morogoro kunithibitishia uchawi 😀 . hapo nipo kwetu nawaza ntaondokaje nikaone uchawi mie!

Unfortunately urafiki wetu ulikufa kwasababu ilishindikana kuwa tu "marafiki". Wakati tunaagana akaniambia hatonifanyia madawa kama alimvyomfanyia cousin wake hadi akafa akaoza juu yake. Sijui kama anajua sikulala week nzima, nilihisi nikilala tu nageuka panya. I would like to talk to him again tho. Nimepoteza contacts zake na Naona ID yake kaikacha.

WA MWISHO ndo kaniacha hoi. Naye anajua hii ID.

Nilivyogundua JF nilikuwa namfwatilia, very intelligent, very interesting. Nilifikiri ni mbabu ana watoto na wajukuu, nikataka urafiki kama mjukuu wake, u know nilikuwa napenda kukaa na wazee ujifunze maisha. Lakini sio siku hizi, wazee wa siku hizi vilaza halafu Hawana adabu. Hata mke wake ukimwangalia unawaza "me mke mwenzio ooh".

Anyways, kumbe hata sio mzee ni kijana tu (kwa umri alionitajia) na kipaji chake. Nilikuwaga naibuka PM nikikwama kwenye mabishano ani boost point lol. Huyu ndo alinifundisha kuacha kuandika vifupi vya "u knw". Aliniambiaga Mara moja kuwa hapendi hadi Leo naandika vizuri.

baadaye I officially asked for friendship. Akakubali akasema alitaka urafiki toka zamani. Nikamwabia Nipe email yako nikutumie na picha. Nikamtumia. Na urafiki ukaisha hajawahi kunijibu tena 😀 .

Kwahiyo natangaza kususa urafiki na watu wa JF 🙁

On a serious note, nimetembelea account yangu ya zamani nashangaa is this really me?? Yani ni kama namsoma mtu tofauti. Nimebadilika sana. naona kama nimekuwa kilaza, lakini Kiswahili changu kimekuwa kizuri sijui nilikuwa naongeaje!!

So nimeamua niondoke humu Nikatembee huko duniani halafu nirudi kivingine. Baadae nichungulie hii account nione kama nimebadilika.

View attachment 448594

Ha ha haaa!!! Nimecheka sana aisee. You made my day.
 
Unaona sasa unaanza uchokozi wako.... Acha hizo bana
Nimeacha mrembo na sirudii tena nakuapia,yule mrembo mama facebook ni muungwana sana tena amelelewa katika maadili mema,ila mimi nilimuelewa vibaya,hata hivyo jana hiyo hiyo nimemuomba msamaha sana,na amenisamehe,usijali nimejifunza kuwa mstaarabu kupitia mama facebook.
 
Yo ma nigga what's da dealio...??

Fanya uje crib basi...nina house party leo. Totoz bwerere....

20161210_151222.jpg
 
Tatizo lako ni kakorofi ,unataka usawa zile za "usinibabaishe "
Wanaume hatupendi ivyo
Kuwa mnyenyekevu
 
Nimeacha mrembo na sirudii tena nakuapia,yule mrembo mama facebook ni muungwana sana tena amelelewa katika maadili mema,ila mimi nilimuelewa vibaya,hata hivyo jana hiyo hiyo nimemuomba msamaha sana,na amenisamehe,usijali nimejifunza kuwa mstaarabu kupitia mama facebook.
Vizuri sana kama umebadilika...

Uungwana wako ni hapo kwenye kuomba samahani unapojua umekosea... Good boy
 
Vizuri sana kama umebadilika...

Uungwana wako ni hapo kwenye kuomba samahani unapojua umekosea... Good boy
Hivi unajua hata mimi ni rafiki yako?
Ila nahisi ulishanipiga changa mara milioni...[emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Nimeacha mrembo na sirudii tena nakuapia,yule mrembo mama facebook ni muungwana sana tena amelelewa katika maadili mema,ila mimi nilimuelewa vibaya,hata hivyo jana hiyo hiyo nimemuomba msamaha sana,na amenisamehe,usijali nimejifunza kuwa mstaarabu kupitia mama facebook.
Karanja uliapa hivyo hivyo siku ile ila ukarudia tena, tena ulisema umemrudia Mungu, nimeshangaa leo umemvaa tena mdada wa watu. Kwanini lakini you like troubles!!!

Acha bwana, muungwana ni vitendo.
 
Karanja uliapa hivyo hivyo siku ile ila ukarudia tena, tena ulisema umemrudia Mungu, nimeshangaa leo umemvaa tena mdada wa watu. Kwanini lakini you like troubles!!!

Acha bwana, muungwana ni vitendo.
Wallahi nakuapia dada yangu Atoto,kweli nilikosea ila hata sister nae alikosea kidogo sana tena sana,ila sikutakiwa kufanya nilioyafanya,tena najuta na nimemuomba msamaha na amenismehe kabisa,pia yeye ndio amenipa lesson katika maisha na maana ya uungwana ni vitendo,nilikuwa hayawani au pumbavu tena lijinga,sasa nimekuwa muelewa na sirudii na wewe utakuwa shahidi.
 
Basi nasubiri kuona kwa vitendo.
 
Happy holidays my dear friend!! Take care of yourself and have a peaceful time.
 
Back
Top Bottom