mcTobby
JF-Expert Member
- Feb 16, 2018
- 6,631
- 18,676
Ni ukweli usiopingika, Kila nchi kwa sasa inapigana na shida na Changamoto zake kuanzia za kisiasa na zile za kijamii.
Kwa mfano , sasahivi kuanzia Mexico hadi kule Nepal au Indonesia Changamoto za kisiasa na za kijamii viongozi wanahaha kuzikabili.
Mbaya zaidi kinachonyima Watawala na viongozi Duniani, ni Hii Wave ya Gen Z kama Changamoto ya Kisiasa.
Mexico hadi Morocco ni mwendo wa maandamano. Watu wamechoka. Ni juzi tu hapo kwenye visiwa vya Malagasy Rais aliamua kuikimbia Nchi kutokana na Maandamano.
Huko Nepal ndio usiseme. Haya yote yanatokana na Nini? Jibu ni moja tu. Watawala wameshindwa kuyafikia matarajio na mahitaji ya raia wao.
Mwisho wa siku watu wanaamua kuingia Barabarani. Hapo ndipo nchi inapoamua kujipigania yenyewe pasipo msaada wa kimataifa.
Vita ya hapo Sudani tu AU wameamua kuwa watazamaji pasipo kuingilia au kuchukua Hatua stahiki.
Hata kwa upande wetu kama TZA, tuna matatizo yetu. Kuanzia ya kisiasa na kijamii. Lolote Likitokea tutabaki Sisi kama Sisi kusuluhisha.
Hakuna tena ule ujinga wa nchi nyingine kubeba misalaba isiyowahusu.