ngara23 JF-Expert Member Joined Aug 31, 2019 Posts 15,774 Reaction score 35,994 Jan 19, 2026 #1 Sisi watu wa rohoni tunaona mengi mno, nadhani wataalam wenzangu wa ulimwengu wa roho mshagundua kuwa hii siyo ishara ya kawaida Baada ya kuapishwa bunge baada ya uchaguzi kila mwezi laZima mbunge mmoja afariki kutokana na sababu mbalimbali Mwezi December, Jenestha Mhagama RIP alipoteza maisha Leo kabla ya arobaini yake mbunge Halima Idd Nasoro RIP nae amepoteza maisha Kumbuka kumpaka mbunge ni gharama kubwa kuendesha uchaguzi na kumpata kiongozi huyu Hili siyo jambo la kawaida kiroho, kama mbunge yupo bungeni Kwa uchaguzi wa oktoba 29,2025 ajitafakari na aangalie yupo kihalali au la
Sisi watu wa rohoni tunaona mengi mno, nadhani wataalam wenzangu wa ulimwengu wa roho mshagundua kuwa hii siyo ishara ya kawaida Baada ya kuapishwa bunge baada ya uchaguzi kila mwezi laZima mbunge mmoja afariki kutokana na sababu mbalimbali Mwezi December, Jenestha Mhagama RIP alipoteza maisha Leo kabla ya arobaini yake mbunge Halima Idd Nasoro RIP nae amepoteza maisha Kumbuka kumpaka mbunge ni gharama kubwa kuendesha uchaguzi na kumpata kiongozi huyu Hili siyo jambo la kawaida kiroho, kama mbunge yupo bungeni Kwa uchaguzi wa oktoba 29,2025 ajitafakari na aangalie yupo kihalali au la
Hance Mtanashati JF-Expert Member Joined Sep 7, 2016 Posts 23,877 Reaction score 31,631 Jan 19, 2026 #2 Bado anguko la adui kuu.
Intelligent businessman JF-Expert Member Joined Sep 6, 2022 Posts 43,930 Reaction score 95,293 Jan 19, 2026 #3 Israeli mtoa roho, aendelee kupiga kwenye mshono.
Red black JF-Expert Member Joined Nov 29, 2019 Posts 11,858 Reaction score 36,542 Jan 19, 2026 #4 Karima is real
Mjusi Sharobalo JF-Expert Member Joined Sep 4, 2025 Posts 7,442 Reaction score 12,709 Jan 19, 2026 #5 Hadi kufika afumbili na 30 watakuwa wameshapukutika wote, malipo ni hapahapa duniani.
M O N S T E R JF-Expert Member Joined Sep 26, 2022 Posts 6,504 Reaction score 15,579 Jan 19, 2026 #6 Hance Mtanashati said: Bado anguko la adui kuu. Click to expand... Itakuwa ni siku ya furaha isiyo kifani, life haraka tu hilo adui.
Hance Mtanashati said: Bado anguko la adui kuu. Click to expand... Itakuwa ni siku ya furaha isiyo kifani, life haraka tu hilo adui.
ngara23 JF-Expert Member Joined Aug 31, 2019 Posts 15,774 Reaction score 35,994 Jan 19, 2026 Thread starter #7 M O N S T E R said: Itakuwa ni siku ya furaha isiyo kifani, life haraka tu hilo adui. Click to expand... Duuuh
M O N S T E R said: Itakuwa ni siku ya furaha isiyo kifani, life haraka tu hilo adui. Click to expand... Duuuh
ManchoG JF-Expert Member Joined Jul 31, 2017 Posts 2,543 Reaction score 3,113 Jan 19, 2026 #8 Unakulaje kuku mzima/kitimoto 1k iliyokaushwa na ndizi mzuzu kila siku kwa kodi za wa TZ wasiojua kesho yao.! Bila kusahau kachumbari na Lite🤭 Tuhuma zitawamaliza ngeKe hawa
Unakulaje kuku mzima/kitimoto 1k iliyokaushwa na ndizi mzuzu kila siku kwa kodi za wa TZ wasiojua kesho yao.! Bila kusahau kachumbari na Lite🤭 Tuhuma zitawamaliza ngeKe hawa
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 359,869 Reaction score 828,390 Jan 19, 2026 #9 Wanatangulia kusafisha njia
B Bush Dokta JF-Expert Member Joined Apr 11, 2023 Posts 36,228 Reaction score 60,546 Jan 19, 2026 #10 ngara23 said: Sisi watu wa rohoni tunaona mengi mno, nadhani wataalam wenzangu wa ulimwengu wa roho mshagundua kuwa hii siyo ishara ya kawaida Click to expand... Nakumbuka mwaka 2020 kuelekea 2021 tulishuhudia mfululizo wa matukio kama haya
ngara23 said: Sisi watu wa rohoni tunaona mengi mno, nadhani wataalam wenzangu wa ulimwengu wa roho mshagundua kuwa hii siyo ishara ya kawaida Click to expand... Nakumbuka mwaka 2020 kuelekea 2021 tulishuhudia mfululizo wa matukio kama haya
B Bush Dokta JF-Expert Member Joined Apr 11, 2023 Posts 36,228 Reaction score 60,546 Jan 19, 2026 #11 Mshana Jr said: Wanatangulia kusafisha njia Click to expand... May be
itscowboy98 JF-Expert Member Joined Dec 9, 2025 Posts 365 Reaction score 569 Jan 19, 2026 #12 ManchoG said: Unakulaje kuku mzima/kitimoto 1k iliyokaushwa na ndizi mzuzu kila siku kwa kodi za wa TZ wasiojua kesho yao.! Bila kusahau kachumbari na Lite🤭 Tuhuma zitawamaliza ngeKe hawa Click to expand... 🤣 🤣
ManchoG said: Unakulaje kuku mzima/kitimoto 1k iliyokaushwa na ndizi mzuzu kila siku kwa kodi za wa TZ wasiojua kesho yao.! Bila kusahau kachumbari na Lite🤭 Tuhuma zitawamaliza ngeKe hawa Click to expand... 🤣 🤣
ngara23 JF-Expert Member Joined Aug 31, 2019 Posts 15,774 Reaction score 35,994 Jan 19, 2026 Thread starter #13 ManchoG said: Unakulaje kuku mzima/kitimoto 1k iliyokaushwa na ndizi mzuzu kila siku kwa kodi za wa TZ wasiojua kesho yao.! Bila kusahau kachumbari na Lite🤭 Tuhuma zitawamaliza ngeKe hawa Click to expand... Tusubiri February nani atafuata
ManchoG said: Unakulaje kuku mzima/kitimoto 1k iliyokaushwa na ndizi mzuzu kila siku kwa kodi za wa TZ wasiojua kesho yao.! Bila kusahau kachumbari na Lite🤭 Tuhuma zitawamaliza ngeKe hawa Click to expand... Tusubiri February nani atafuata
B Bush Dokta JF-Expert Member Joined Apr 11, 2023 Posts 36,228 Reaction score 60,546 Jan 19, 2026 #14 ManchoG said: Unakulaje kuku mzima/kitimoto 1k iliyokaushwa na ndizi mzuzu kila siku kwa kodi za wa TZ wasiojua kesho yao.! Bila kusahau kachumbari na Lite🤭 Tuhuma zitawamaliza ngeKe hawa Click to expand... 😂😂😂We jamaa
ManchoG said: Unakulaje kuku mzima/kitimoto 1k iliyokaushwa na ndizi mzuzu kila siku kwa kodi za wa TZ wasiojua kesho yao.! Bila kusahau kachumbari na Lite🤭 Tuhuma zitawamaliza ngeKe hawa Click to expand... 😂😂😂We jamaa
ngara23 JF-Expert Member Joined Aug 31, 2019 Posts 15,774 Reaction score 35,994 Jan 19, 2026 Thread starter #15 Bush Dokta said: 😂😂😂We jamaa Click to expand... Jamaa katisha
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 359,869 Reaction score 828,390 Jan 19, 2026 #16 Bush Dokta said: May be Click to expand... Kabla mkubwa hajapita vinatangulia ving'ora hata kwenye manii ni hivyo hivyo
Bush Dokta said: May be Click to expand... Kabla mkubwa hajapita vinatangulia ving'ora hata kwenye manii ni hivyo hivyo
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 359,869 Reaction score 828,390 Jan 19, 2026 #17 ManchoG said: Unakulaje kuku mzima/kitimoto 1k iliyokaushwa na ndizi mzuzu kila siku kwa kodi za wa TZ wasiojua kesho yao.! Bila kusahau kachumbari na Lite🤭 Tuhuma zitawamaliza ngeKe hawa Click to expand... Ohh lalaaaaa😂😂😂
ManchoG said: Unakulaje kuku mzima/kitimoto 1k iliyokaushwa na ndizi mzuzu kila siku kwa kodi za wa TZ wasiojua kesho yao.! Bila kusahau kachumbari na Lite🤭 Tuhuma zitawamaliza ngeKe hawa Click to expand... Ohh lalaaaaa😂😂😂
Masai wa Town JF-Expert Member Joined Apr 9, 2017 Posts 6,544 Reaction score 23,844 Jan 19, 2026 #18 Mtoa roho anatukosea Sana. Kila mwezi anapiga off target🤔
ngara23 JF-Expert Member Joined Aug 31, 2019 Posts 15,774 Reaction score 35,994 Jan 19, 2026 Thread starter #19 Masai wa Town said: Mtoa roho anatukosea Sana. Kila mwezi anapiga off target🤔 Click to expand... Anatanguliza kuni
Masai wa Town said: Mtoa roho anatukosea Sana. Kila mwezi anapiga off target🤔 Click to expand... Anatanguliza kuni
comrade_kipepe JF-Expert Member Joined Jun 25, 2019 Posts 6,446 Reaction score 11,504 Jan 19, 2026 #20 ManchoG said: Unakulaje kuku mzima/kitimoto 1k iliyokaushwa na ndizi mzuzu kila siku kwa kodi za wa TZ wasiojua kesho yao.! Bila kusahau kachumbari na Lite🤭 Tuhuma zitawamaliza ngeKe hawa Click to expand... 😂😂😂
ManchoG said: Unakulaje kuku mzima/kitimoto 1k iliyokaushwa na ndizi mzuzu kila siku kwa kodi za wa TZ wasiojua kesho yao.! Bila kusahau kachumbari na Lite🤭 Tuhuma zitawamaliza ngeKe hawa Click to expand... 😂😂😂