Nimepata upako tu boss, tatizo naona vijana wengi saizi hawataki na wanakwepa uwajibikaji kwa kisingizio cha kuwaponda hawa viumbe.
Minaamini wanawake ni watu wema sana, tatizo wavulana wengi wamekua tegemezi na wavivu wa kitambua nafasi zao.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.