Kila mtu na starehe yake, wewe yako nini?

Kila mtu na starehe yake, wewe yako nini?

Yeuuuuuwiiiii.. Mie starehe yangu kulala aiseee, hapo hunitoi hata daddy angu anajua hilo!!!!
 
Natamani kuweka picha inayohusu starehe yangu ila maadili hayaruhusu.....cc Filipo
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom