Kila mtu na starehe yake, wewe yako nini?

Kila mtu na starehe yake, wewe yako nini?

Kuwepo job afu zikiwa zinaingia mfurulizo
jion na wife tunahesabu mapato then dona yangu mixer ngano na majani majani baada ya gospel kwa mbaaaali! Huku nikiwa napitia Bible yangu! Aku staki maneno na mtu!
Hapa no drink,smoke na ukicheche simo!!
 

mie starehe yangu kubwa ni
kupanda bodaboda,nisipopanda
nahisi kuumwa mwenzenu,nitasalimika kweli lol!!
 
napenda kulaaaaa afu nikipata kajuice freshie mi huyoooo.
 
khaaa kwenda simiyu ushapindua sirikali yangu.....

mamii mapinduzi muhimu na kama ujuvyo mapinduzi hayaangalii chochote zaidi ya maslahi kwa mpinduaji ati..... pole ndio maisha...... mtafutie limbwata tulivyo wengi kila mmoja akimuwekea uchizi utamuhusu huyu mume wangu Arushaone na ikiwa hivyo ntakumuachia bila hiyana
 
Last edited by a moderator:
Starehe yangu nikupiga bia huku nipo jf kama sasa hvi ninavya andika hivi
 
Back
Top Bottom