Kila mtu na starehe yake, wewe yako nini?

Kila mtu na starehe yake, wewe yako nini?

Bujibuji Simba Nyamaume

Platinum Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
78,502
Reaction score
167,111
Mimi starehe yangu ni kula nguna (ugali mgumu sana na mkubwa sana) kisha baada ya hapo naenda kucheza disco la Yesu
Je mwenzangu ni ipi starehe yako?
Wapo wanaostareheka na miili ya wenzao, wengine starehe yao, ni sigara, wengine ni pombe, wengine starehe yao kusafiri.
Hapa pichani chini nikijisevia msosi

378376_392334250841908_1720447002_n.jpg
 
mi starehe yangu kumsubiria mume wangu Arushaone na mwiko akiwa ametoka kwenye pombe zake sa kumi ili nisimpige ananipa ka laki kangu tunaenda kulala
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom