Kila mdada ana weakness ya kitu chake

Kila mdada ana weakness ya kitu chake

Eat more fruit!“ the slogans say,
"More fish, more beef, more bread!”
But I’m on unemployment pay
My third year now and wed.

And so I wonder when I’ll see
The slogan when I pass,
The only one that would suit me, –
“Eat More Bloody Grass!”

Change DS into GS the slogan says.
 
Anaitwa nani jina lake, dogo angalia unayemsema isije kuwa ndo mke wangu mtarajiwa ntakukata mapanga..................
 
Hiyo haikuwa weakness yake ila yako wewe,alikuwa anakutamani na kupitia hizo akakupata,yaani aliyepatikana hapo ni wewe.
General study!!! Chuo gani hicho? Au advance? Maana chuo hakuna General study labda kama ulimaanisha Development study. But hongera pia kwa mbinu yako na kufanikiwa. Sasa mbona alikukacha na kuolewa kwa mwingine ooooh sorry kwa vibiscut inaonekana ni mwanaume wa Dar ndio maana alikukacha. Wanaume wa mikoani huwezi kumkuta dume zima na vibiscut!
Mkuu sikuwa naipenda DS kitendo kichonifanya niite GS. Kwa mtu aliyesoma science nadhani anatambua namna gani DS ilivyokuwa kikwazo kama ilivyo GS.
 
General study!!! Chuo gani hicho? Au advance? Maana chuo hakuna General study labda kama ulimaanisha Development study. But hongera pia kwa mbinu yako na kufanikiwa. Sasa mbona alikukacha na kuolewa kwa mwingine ooooh sorry kwa vibiscut inaonekana ni mwanaume wa Dar ndio maana alikukacha. Wanaume wa mikoani huwezi kumkuta dume zima na vibiscut!
Duh povu gan hilo mkuu,
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom