Dripboy
JF-Expert Member
- Mar 22, 2019
- 3,178
- 4,608
Nakupa habari za chini ya kapeti mkuu Simba itachukua ubingwa wa TPL hadi 2026!Wamekuja na hasira kweli .
Na sasa mkuu wa mkoa wa kagera ameanza kuisaport hii timu Kwa ukaribu sana huku wanakagera wengi wakianza kuisaport hii timu.watajirekebisha Sana Kwa makosa waliyoyafanya
Watakuwa wengine msimu ujao
Mkuu wa mkoa wa Kagera hana fedha na si muhamasishaji mzuri, hana nyota ya mvuto kwa kifupi hana ushawishi.
Angekuwa ni Mbwatukaji Makonda ningekubali