Kila lakheri Pamba, dua zote kwenu

MTAZAMO

JF-Expert Member
Feb 8, 2011
19,643
33,427
Wanabodi,

Leo kwa namna ya pekee niwatakie heri timu ya Pamba FC, wanakawekamo, TP lindanda washinde na kurejea ligi kuu.

Mimi Pamba FC ndio ilikuwa timu yangu ya kwanza kushabikia na kuhudhuria mechi zao Nyamagana enzi hizo. Mchango wa Pamba kwenye soka letu ni mkubwa mno hasa kuibua vipaji vya pekee kutokea kanda ya ziwa. Nafikiri hakuna timu iliyoibua nyota kama Pamba kwa kipindi kirefu sana.

Pamoja na mimi kuwa na asili ya mkoa wa Kagera kutokea wilayani Kyerwa lakini leo hapana naiombea Pamba ishinde na wana Mwanza wajitahidi kuisaidia ili tuirudishe Pamba ile iliyoshinda timu ya shelisheli kwenye kombe la washindi barani Africa goli 12-0.

Kila lakheri wanakawekamo, tupwisa lindanda, Pamba ya Mwanza!! Kagera mniwie radhi kwa leo tuuu!
 
Wanabodi,

Leo kwa namna ya pekee niwatakie heri timu ya Pamba FC, wanakawekamo, TP lindanda washinde na kurejea ligi kuu.

Mimi Pamba FC ndio ilikuwa timu yangu ya kwanza kushabikia na kuhudhuria mechi zao Nyamagana enzi hizo. Mchango wa Pamba kwenye soka letu ni mkubwa mno hasa kuibua vipaji vya pekee kutokea kanda ya ziwa. Nafikiri hakuna timu iliyoibua nyota kama Pamba kwa kipindi kirefu sana.

Pamoja na mimi kuwa na asili ya mkoa wa Kagera kutokea wilayani Kyerwa lakini leo hapana naiombea Pamba ishinde na wana Mwanza wajitahidi kuisaidia ili tuirudishe Pamba ile iliyoshinda timu ya shelisheli kwenye kombe la washindi barani Africa goli 8-0.

Ndumba zenu mziache hukohuko Mwanza.
 
Tunaijua rangi yako ya Mikia ndio maana unaisaliti timu ya nyumbani kwenu
 
Kila lakheri Pamba FC
azamtvtz-1559975390360.jpeg
 
Leo kaitaba kutachimbika. Itakuwa bonge la mechi
 
Wasukuma wameingia uwanjani na washirikina kama kawaida yao, wametolewa nje wa uwanjani wa Kaitaba kama Mbwa. Hayo mambo yenu ya kipumbavu fanyeni huko mwanza
 
Back
Top Bottom