Kila lakheri Pamba, dua zote kwenu

Nani anaongoza?
Nami nimeuliza
Nan anaongoza
Hawashuki NGO?
Screenshot_20190608-174534.jpeg
 
Ila kutumia playoff kuamua anayepanda kwenye ligi ni uonevu mkubwa period. Mtu ligi kuu imemshinda alafu anatafutiwa mlango mwingine ...uonevu tu
 
Ila kutumia playoff kuamua anayepanda kwenye ligi ni uonevu mkubwa period. Mtu ligi kuu imemshinda alafu anatafutiwa mlango mwingine ...uonevu tu
We nawe!
Kwani namungo FC na polisi fc ya kule moshi hazijapanda moja Kwa moja.

Mbona utaratibu huu hata ulaya unatumia.
 
Kagera hatokuja kuifunga Simba tena, na siku ikitokea kaifunga Simba basi ndio utakuwa mwisho wa ajira ya Coach
Wamekuja na hasira kweli .

Na sasa mkuu wa mkoa wa kagera ameanza kuisaport hii timu Kwa ukaribu sana huku wanakagera wengi wakianza kuisaport hii timu.watajirekebisha Sana Kwa makosa waliyoyafanya

Watakuwa wengine msimu ujao
 
Back
Top Bottom