Kila lakheri Pamba, dua zote kwenu

Kila lakheri Pamba, dua zote kwenu

Timu ya mwekazaji ishuke tu yaani Leo ndo wanatukumbuka sisi wakataji wa miwa tukashangilie..
 
Kagera sugar wabaki TPL,Kilomoni fc watafurahi sana Kagera akishuka daraja
 
Game imechelewa sana kuanza.. kulikua na tatizo gani wakuu?!
 
Ngapi ngapi hadi sasa hivi? Tupe mrejesho
 
Yani hawa pamba hawa.

Walileta vurugu kabla ya mechi ndo maana mechi imecheleweshwa DK 20
 
Kumbe watu wengi wanafuatilia hii mechi

Kagera isishuke aisee maana ilishakuwa timu kubwa tayari mpaka inafuatiliwa hiv
 
Back
Top Bottom