Kila la kheri vikao vya kamati kuu ya halmashauri kuu ya CCM Taifa.

Tlaatlaah

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2023
Posts
36,155
Reaction score
30,837
Kwa unyenyekevu mkubwa niko tayari kuupokea kwa mikono miwili uamuzi wenu thabiti kwa ustawi na maslahi mapana ya chama cha mapinduzi. Hakuna cha kupoteza.

Asante sana wa jumbe wa mikutano mikuu ya CCM katika kata zote zaidi ya 17 katika Jimbo langu, kwa imani na mapenzi yenu makubwa mno kwangu na kunipatia fursa na nafasi ya kuniskiliza kwa heshima na hatimae kunipigia kura nyingi sana za upendo wa dhati na bila gharama yoyote, yaani priceless votes.
Thamani ya kura zenu itaonekana kwenye maendeleo. Tuwaombee kamati kuu ya CCM Taifa.
God bless you all.

Kazi na utu Tunsonge mbele pamoja.
Kidumu chama cha Mapinduzi.🐒

Mungu Ibariki Tanzania.
 
Mkuu hongera mno kwa kupenya hatua ya kwanza. Tunakuombea kwa mwenyezi Mungu hatua iliyobakia nayo ufanikiwe.

Mpendwa ushauri wangu kwako ni kwamba, kwa Katiba yetu na siasa za nchi yetu, thamani ya kura zao (wapiga kura wako) itaonekana kwenye uwakilishi na ushawishi wako bungeni. Kuhusu maendeleo usijituishe mzigo wa misumari bure!!!

Nikutakie kila la heri.
 
Dau uliweka kiasi gani kwa mjumbe mpaka umefikia hatua hiyo?.
 
Kwa unyenyekevu mkubwa niko tayari kuupokea kwa mikono miwili uamuzi wenu thabiti kwa ustawi na maslahi mapana ya chama cha mapinduzi. Hakuna cha kupoteza.

Asante sana wa jumbe wa mikutano mikuu ya CCM katika kata zote zaidi ya 17 katika Jimbo langu, kwa imani na mapenzi yenu makubwa mno kwangu na kunipatia fursa na nafasi ya kuniskiliza kwa heshima na hatimae kunipigia kura nyingi sana za upendo wa dhati na bila gharama yoyote, yaani priceless votes.
Thamani ya kura zenu itaonekana kwenye maendeleo. Tuwaombee kamati kuu ya CCM Taifa.
God bless you all.

Kazi na utu Tunsonge mbele pamoja.
Kidumu chama cha Mapinduzi.🐒

Mungu Ibariki Tanzania.
Matokeo rasmi ya jumla yako wapi. Mkoa wa Manyara matokeo yako wapi hasa majimbo ya Mbulu
 
Jimbo langu matokeo ya Jumla yameshatoka, na asubuh ya leo kikao cha kamati ya siasa ya wilaya kinaketi kuyajadili na kuyathibitisha na hatimae kuyawasilisha ngazi za juu kwaajili ya maamuzi ya mwisho.

Nawatakia viongoz wa CCM vikao vyema Baraka 🐒
 
Dau uliweka kiasi gani kwa mjumbe mpaka umefikia hatua hiyo?.
mimi ni mtu muaminifu,
na nilienda jimboni kuomba kura na sio kununua kura gentleman, na kwahivyo sikua na kiasi 🐒
 
Hongera sana mkuu, ingawa siipendi CCM with all my heart, ila nakutakia mafanikio ya kisiasa as an individual.
 
Niongeze sauti au nirudie tena?
Vikao vya genge la wapigaji
hivi mnaendeleaje lakini gentleman?
mfululizo wa press conference za matamko na uropokaji vipo tena?

na je, mropokaji mkuu bado anasota korokoroni?

nakuja mapumziko mwishoni mwa wiki 🐒
 
Back
Top Bottom