Kila la heri wanafunzi wa Darasa la Nne

zandrano

JF-Expert Member
Jan 24, 2017
7,128
7,710
Leo tarehe 28/10/2021 wanafunzi wetu wa Darasa la nne wanafanya mitihani yao ya kuwapima uelewa wao kabla hawajavuka kwenda darasa la tano. Tunawatakia mtihani mwema. Tudhibiti udanganyifu, udanganyifu haufai, udanganyifu huuwa vipawa.

Wataalamu bora hawapatikani kwa udanganyifu.
 
Mungu awapiganie...
 
Huu ndio mwanzo wao wa msingi wa kitaaluma.

ili elimu yetu iwe bora ili tuweze kuzalisha wataalamu bora wa badae inapaswa wadau wa elimu pamoja na wazazi kuweka jitihada kubwa ktk Elimu ya Msingi.

Msingi Bora wa Elimu kwa kizazi chetu unaanzia ktk hatua hii ya Elimu ya Msingi.

Tusipo jenga msingi imara wa elimu tutaliangamiza Taifa letu.
 
Kila la kheri kwa mtu wa vita Yung bro Jumaa na watoto wote wa darasa la nne mwenyezi Mungu awafanyie wepesi katika mitihani yao
 
Back
Top Bottom