Kila kitu chetu...

Kila kitu chetu...

stevoh

JF-Expert Member
Joined
Dec 5, 2011
Posts
2,921
Reaction score
1,107
MUME: "kila siku mie nakushangaa sana mara useme TV yangu, gari langu, chumbani kwangu, watoto wangu.
Sisi ni mume na mke, kila kitu ni chetu, jirekebishe bwana."

Mke akajifanya yupo kimyaaaa kama hasikii akaendelea na shughuli yake ya kupekua pekua kabatini.

MUME Akang'aka sasa huko kabatini unatafuta nini??

MKE: "Sketi Yetu"
 
Kweli kuna wake na ma-wife materials.

Waoaji mna kazi bora niendelee tu kuwa bachelor kama Pope.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom