Kila kitu baharini kinaliwa!

adden

JF-Expert Member
Dec 27, 2015
7,033
15,616
Jamaa alikuwa anamwambia mwenzio kwa kujiamini
KILA KITU BAHARINI KINALIWA!!
Jamaa mwingine akamjibu.
HADI MELI!!
 
Huo ni msemo maarufu wa wachina wanakula kila kilichopo baharini kasoro vyombo vya usafiri kila kirukacho kasoro ndege na kila kilichopo juu ya ardhi kasoro visivyo na uhai
 
Huo ni msemo maarufu wa wachina wanakula kila kilichopo baharini kasoro vyombo vya usafiri kila kirukacho kasoro ndege na kila kilichopo juu ya ardhi kasoro visivyo na uhai
Hata vilivyo na uhai wanakula,wakishika mende wanatupia mdomoni mzima.pyuuu!
 
Kuna picha nilitumiwa wozap sikutaka hata kuziangalia japo sijajua zina ukweli kiasi gani
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom