Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 78,214
- 166,214
Naval blockade ni mbinu ya kijeshi ambapo nchi hutumia meli za kivita kuzingira na kufunga bandari au ukanda wa bahari wa nchi nyingine. Lengo ni kuzuia meli zote, bidhaa, silaha, au watu kuingia na kutoka katika eneo hilo.
Jinsi Inavyofanya Kazi
Madhumuni ya Naval Blockade
Jinsi Inavyofanya Kazi
- Meli za kivita zinasimama au kushika doria baharini.
- Wanazuia kila kitu kinachotaka kupita.
- Wanatumia pia ndege na vifaa vingine kuangalia bahari.
Madhumuni ya Naval Blockade
- Kudhoofisha uchumi wa adui kwa kuzuia biashara.
- Kuzuia nchi kupata mafuta, chakula, au silaha.
- Kulazimisha serikali ya nchi hiyo kusalimu amri au kubadili msimamo