Kikwete: Waliochochea ukabila ndio wanachochea udini leo...

Kikwete: Waliochochea ukabila ndio wanachochea udini leo...

Status
Not open for further replies.
Kelele za vyura hazimzuii Tembo kunywa maji.

Hapa ndipo ninapompendea mtukufu rais. Keshafikisha ujumbe maridhawa kabisa; haters wanalalama.

Endelea kuongoza taifa baba JK, na 2015 tunamkabidhi nchi Mzanzibari mwenzetu, Dr Shein.
 
Yaani nilikuwa nazidi kukasirika kila ninavyoendelea kusoma post yako hii, nilipofika hapo kwenye BLUE hasira zote zikaisha nikajawa na kicheko kikubwa sanaaaaaaa
 
Huyu Raisi kafanya uraisi kuwa raisi sana,hivi hanaga washauri?
 
Jk msanii tu huyo , anambwembwe za CCM, ana majina wa wafanyabiashara wa madawa ya kulevya, mara nashangaa wanawake nao wanashiriki rushwa kwenye uchaguzi, leo wanaochochea udini anawajua , mbona hakuna hatua yo yote anachukua, Upuuuuuuuuzzzzzzziiiii mtuuuuuuppppuuuu
 
Ni aibu tena aibu sana rais wa nchi kujiunga na wananchi unaowaongoza kulalamika juu ya jambo fulani. Rais anapaswa kuleta suluhisho la matatizo na siyo kulalamika kama mwananchi wa kawaida.
 
Ndio upeo wa intelijensia ya kikwete....huwa anadanganywa kilasiku yeye ni kusoma tu badala ya kuchunguza,baadae wakishtuka utasikia sleep of tongue.akili ya kuambiwa jumlisha na yako.

....husababishwa na sleep of brains.
 
Message sent and delivered
WALIOCHOCHEA UKABILA/UKANDA NDIO WANAOENDEKEZA UDINI. BIG UP JK, atleast umeliona tatizo

kaka na wasiwasi na mfumo wako wa kufikiria nadhani hauko vizuri.... wewe hauioni Tanzania ya leo inapoelekea eeeeh...... huyu jamaa ni mdhaifu, mbururu a.k.a kilaza..... kwakifupi huyu jamaa ni **** na mengine mengi nyuma yake ambayo nikiyaandika hapa nitakuwa nimekosa busara but he is like a commodity with no value.......
 
Hahahaaa!! VASCO DAGAMA naye!!! Akina nani hao?mbona hawataji ili tuwajue na kuokoa taifa?au ndo zilezile za tunawajua na tunawapa muda wa kujitokeza?hana jipya zaidi anavuta muda fungu la safari za nje litoke aruke zake
 
Binafsi naomba nianze kwa kukupongeza Mhe, Rais kwa kuliona hilo la udini kuwa lipo, lakini ninachoshangaa ni kuwa issue hii wewe umeipokea kama ni mpya na ya ghafla sana wakati watu wamekuwa wakikuasa uache kufumbia mambo haya kwa muda mrefu na kutoa hadhari kuwa mwisho yatatupeleka pabaya zaidi!! Sasa umeona walichosema waona mbali?? SASA CHUKUA HATUA.

Modes, naomba msinibann kwani huu uzi ni mwendelezo wa hotuba ya mhe.
 
Mambo ya udini source ni yeye mwenyewe,
wakati wa uchaguzi aliyasema sana kuwa kuna chama kinaudini,
na hii ni mbegu aliyoipanda mwenyewe sasa imeota na inazaa matunda,
sasa ameanza kupanda mbegu ya ukabila nayo itaota na itazaa matunda na wa tz wote tutakula tena hayo matunda ya ukabila kama ambavyo tumekula ya udini.
 
Unamshukurje mtu alieasisi udini??? mara ngapi tulimuomba achukue hatua stahiki na asifanye hivyo? alisubiri watishie kumtoa Ikulu na jeshi liingie mtaani ndio aongee, by the way alichoongea hakina mantiki manaa akam Mkuu wa nchi tulitaka kuona action na sio blah blah tulizozizoea kila siku.
Alichoongea kilipaswa kuzungumzwa na mtoto wa chekechea na sio Kiongozi wa nchi. I stand to be corrected
 
Hakika rais hawezi kukwepa lawama hii kwani kwa namna moja au nyingine yeye ndiye chanzo cha haya yote.
 
Akiguswa tu kwenye suala la Rushwa na madudu mengine,basi huwa anakimbilia kwenye mwavuli wa dini,maana ni wazi sasa anaondoa lawama kwa wale waliowaita "wahuni",na kuendelea kuishinikiza sympathy ya udini kutpka kwa wananchi wa imani yake.

Rais wa nchi hata kama una dini,hautakiwi kuchaguwa upande wa dini yako na kuzidi kuzichochea hisia za kidini kwa kuwanyooshea kidole wapinzani wako wa kisiasa huku ukijuwa ni uongo.Anaposema "hakutapatikana mshindi",tayari anajenga hisia kuwa dini yake inanyanyaswa.

Kweli watanzania mtajuta kumchagua JK.
you know the guy.....inasikitisha sana....mimi huwa kila mara najiuliza hivi JK huwa hana wanaomshauri cha kusema???au anashauriwa na watu gani????au hata yeye huwa hasomi jamii/raia wanachosema kwa kupitia magazeti???maana hata marais makini...kama kina Barack O huwa wana tweet etc...ili kuwa aware na kinachosemwa na raia wao.....mimi nashindwa kabisa kuelewa JK anashauriwa na watu gani...maana hakika hajui raia wa TZ wanasema nini na wanataka nini at present.....Coming to the point.....nadhani anatoa haya matamko kama ujumbe kwa dini za kikristo.....maana possibly ameshahisi kutakuwa na a very serious religious crusade in tz(ikihusisha madhehebu yote yaliyoathirika na fujo za waislamu).........haswa kama atakuwa amelisoma lile tamko la maaskofu wa KKKT....maana hata ma sheikh wa kiislamu baadhi walilizungumzia tamko lile.....Cha ajabu kabisa ni kwamba yeye JK badala ya kuhangaika kupambana na wajinga wenzake wanaochoma makanisa...yeye anabaki kuzungumzia vyama vingine vya siasa......this guy is a real pain.....
 
nani anayechochea udini na ukabila tanzania??
 
JK anataka kujifanya anakerwa na udini wakati anajua kabisa udini ni propaganda iliyoasisiwa na chama chake kwa tamaa tu ya madaraka! Leo mambo yamekuwa hivi anajifanya kukerwa... Weak president asiyeweza kufanya maamuzi!
 
Hivi tulichagueje mtu wa aina hii awe raisi, daa tulilogwa vibaya sana zamani wakati nakua nikajua mtu hadi awe raisi ni lazma awe na uwezo mkubwa sana wa hekima,busaea na kufikiri anachokiongea kumbe ata asie jua anachoingea anaweza kua raisi

kaka nakubaliana na wewe 200%. kwanza kama ukabila na udini kavianzisha yeye, leo anajifanya kulaumu. Si bure watznzania tulilogwa kuchagua a celeb kuwa raisi.
 
Akiguswa tu kwenye suala la Rushwa na madudu mengine,basi huwa anakimbilia kwenye mwavuli wa dini,maana ni wazi sasa anaondoa lawama kwa wale waliowaita "wahuni",na kuendelea kuishinikiza sympathy ya udini kutpka kwa wananchi wa imani yake.

Rais wa nchi hata kama una dini,hautakiwi kuchaguwa upande wa dini yako na kuzidi kuzichochea hisia za kidini kwa kuwanyooshea kidole wapinzani wako wa kisiasa huku ukijuwa ni uongo.Anaposema "hakutapatikana mshindi",tayari anajenga hisia kuwa dini yake inanyanyaswa.

Kweli watanzania mtajuta kumchagua JK.
you know the guy.....inasikitisha sana....mimi huwa kila mara najiuliza hivi JK huwa hana wanaomshauri cha kusema???au anashauriwa na watu gani????au hata yeye huwa hasomi jamii/raia wanachosema kwa kupitia magazeti???maana hata marais makini...kama kina Barack O huwa wana tweet etc...ili kuwa aware na kinachosemwa na raia wao.....mimi nashindwa kabisa kuelewa JK anashauriwa na watu gani...maana hakika hajui raia wa TZ wanasema nini na wanataka nini at present.....Coming to the point.....nadhani anatoa haya matamko kama ujumbe kwa dini za kikristo.....maana possibly ameshahisi kutakuwa na a very serious religious crusade in tz(ikihusisha madhehebu yote yaliyoathirika na fujo za waislamu).........haswa kama atakuwa amelisoma lile tamko la maaskofu wa KKKT....maana hata ma sheikh wa kiislamu baadhi walilizungumzia tamko lile.....Cha ajabu kabisa ni kwamba yeye JK badala ya kuhangaika kupambana na wajinga wenzake wanaochoma makanisa...yeye anabaki kuzungumzia vyama vingine vya siasa......this guy is a real pain.....
 
Ni lini Ukabila uliwahi kuchochewa?
Alifanya nini kuzuia?

Kama anawajua waaochochea udini, anafanya nini kuuzuia?
Yale yale ya ''Ninawajua wauza maawa ya kulevya'' THEN WHAT?
 
hivi tuwe serious kidogo
chadema mlipokamsimamisha mbowe kugombea urais kipindi kile kweli mlikua serious aongoze nchi hii au mlikosa mwakilishi??
Kweli dumb man like dj kupewa trust kubwa kias kile hatukuona kama ilikua hatari kwa mustakabali wa nchi hii kama angechukua nchi??

mbona tumempa huyu msanii wa bongo Mkweeree na si unaona anavyotuongoza?
hv JK na Mbowe wanatofauti gani mkuu, tena mbowe ni genius kwa jk mkuu huyu jamaa ni kilaza eeeti!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom