Kikwete: Waliochochea ukabila ndio wanachochea udini leo...

Kikwete: Waliochochea ukabila ndio wanachochea udini leo...

Status
Not open for further replies.
Yaani nilikuwa nazidi kukasirika kila ninavyoendelea kusoma post yako hii, nilipofika hapo kwenye BLUE hasira zote zikaisha nikajawa na kicheko kikubwa sanaaaaaaa

Cheka sana....., kwa sababu comes 2015; utalia tena kama kawaida yenu. "tumeonewa.... tumeonewa...."
 
Irresponsible president. What a mess!! He speaks as if he has no authority. As if he isa leadership gossip. Oh my God!! what a mess!!!!
But guess what! Really he has no moral authority becauze he is the pioneer of this mess.
 
Hii kauli yake ina ujumbe mkubwa.Kaona mchezo uliochezwa alipokuwa safarini.Akarudi jeshi lipo mitaani Kariakoo kukamata waislamu.Pamoja na hivyo aangalie sana hawa wanaotoa bil.34 kupeleka maji vijijini.Si bure.
Chadema na wakristo ni washabikiaji tu madhila yanayowapata waislamu wakati wanaotaka kuichafua nchi kidini wamejichomeka miongoni mwao.
 
Kama anakerwa na uwepo wa udini alioasisi first afunge Radio Imaan na Gazeti la Annur
 
Duuh maskini kiongozi wetu, amekuwa mtu wa kulalamika zaidi badala ya kuchua hatua
 
Ndugu mtamtafut mchawi mpaka kutakucha, hizi ni nyakati za mwisho tuangalie yale yatakayotufikisha katika mwisho mwema. Wavurugaji wapo kwa ajili ya kuvuruga maana imeandikwa wabaya wameumbwa kwa siku ya ubaya. Wenye Imani tuombe Mungu atupe Kiongozi ambaye anatoka kwake ili tunapochagua tusije kuanguka tena. Zingatieni pia masuala ya UFALME
 
mwana mpotevu hii mbona iko wazi inawalenga cdm moja kwa moja, kwani wao ndio 90% ya viongozi wao wanatoka kaskazini, na sasa wameleta udini chini ya mwamvuli wa kanisa


naona akili yako iko kwenye msimu wa likizo na umeamua kutumia viungo mmbadala bila kujali madhara yake.
 
Zidumu fikra za mwenyekiti wa chamaaaaaaaaaaaa
Eeeee huyo ndiye rais bana
Nasema hiviii na nilishawahi kusema KAmwe hatakaa apate utakaso kwa mlango wa uwanii
 
Anachokera Kikwete kulalamika, wakati yeye ndio mwenye maamuzi na kauli ya mwisho.!

Umenena mkuu, kiongozi wetu anatakiwa aeleze hatua ambazo yeye na serikali yake wamechukua kuepusha nchi na machafuko. Kutuambia kuwa hakutakuwa na mshindi, hata mtoto mdogo anajua hivyo.
 
Mimi naamini wazi hakuna dhambi mbaya kuliko dhambi ya Kunung'unika. Kwani dhambii hii inatafuna kuliko kansa.

Watanzania sasa wamepatwa na dhambii hii ya Kunung'unika kwani kila mtu kuanzia Rais, wananchi wa kawaida, ma padri, wachungaji na mashaikh wote wananung'unika.

Suala la kujiuliiza nani wa kusikiliza manung'uniko yenu na nini ufumbuzi wa manung'uniko hayo?

Mimi nashauri mfanye mjadala wa kitaifa kuzungumzia bila kificho suala la UDINi na kulitafutia ufumbuzi. Kwani UDINI kwa Tanganyika ni suala la kihistoria na siku zote historia haiwezi fichika na lazima itawahukumu hata mkienda kaburini
.
 
mbona tumempa huyu msanii wa bongo mkweeree na si unaona anavyotuongoza?
Hv Jk na Mbowe wanatofauti gani mkuu, tena mbowe ni genius kwa jk mkuu huyu jamaa ni kilaza eeeti!.....

Ikulu ni mahala patakatifu kuongoza vema bilicanas sio kigezo kua ataleta weledi huo sehemu kama ile
dj mbowe is hopless..
 
Hizi ni porojo baada ya kuzembea na kunyamazia chokochoko hizi kwa muda mrefu. Wasitafute sababu za kuhurumiwa na wananchi baada ya kuathirika. Umma utawahukumu siku sio nyingi.
 
Nimekerwa na sms zilizozagaa kuwaasa Waislam wasiwatakie krismas njema Wakristo. Ni nani muislamu asiyemjua nabii Issa kupitia maandiko na masimulizi? kama yupo huyo Elimu yake ina mashaka.
Masuala ya udini yanachochewa kwa kasi na vikundi vidogo tena vingine vinafahamika waziwazi tusipuuze mambo haya ni hatari sana. Mh. Rais amka sasa kwa mustakabali wa Taifa hili.
 
Tumefika hapa sababu ya udhaifu wa raisi wetu..............udhaifu wa bunge letu na serikali yetu by mnyika
 
Nimekerwa na sms zilizozagaa kuwaasa Waislam wasiwatakie krismas njema Wakristo. Ni nani muislamu asiyemjua nabii Issa kupitia maandiko na masimulizi? kama yupo huyo Elimu yake ina mashaka.
Masuala ya udini yanachochewa kwa kasi na vikundi vidogo tena vingine vinafahamika waziwazi tusipuuze mambo haya ni hatari sana. Mh. Rais amka sasa kwa mustakabali wa Taifa hili.


SASA MH RAIS ANAHUSIKA VIPI KWA MATENDO YA WAISLAM WENGNE KWA HULKA ZAO??

SIKUBALIANA NA HOJA HIII :nono:
 
Nimekerwa na sms zilizozagaa kuwaasa Waislam wasiwatakie krismas njema Wakristo. Ni nani muislamu asiyemjua nabii Issa kupitia maandiko na masimulizi? kama yupo huyo Elimu yake ina mashaka.
Masuala ya udini yanachochewa kwa kasi na vikundi vidogo tena vingine vinafahamika waziwazi tusipuuze mambo haya ni hatari sana. Mh. Rais amka sasa kwa mustakabali wa Taifa hili.

Weye unadhani yule Nabii Issa Bin Mariamu wa Qu'ran na yule Yesu Kristo wa Biblia ni sawa au wanabeba uzito sawa ktk misahafu yote miwili?
 
Huu udini walianza kuuzungumzia ccm wakidhani ni nyenzo muhimu kuelekea uchaguzi mkuu!ikaja sensa likaibuka tena na wahamasishaji wakijulikana,wakachekewa!sasa leo mkuu wa kaya analalamika utadhani hana mamlaka yoyote! Anafuga viroboto mwoga kutoa funza!
 
I read with disappointment on our President's view on the on going attacks directed to religious institutions. I'm aggrieved by his non commital statements as well as lack of authority in dealing with such serious issues. It is absurd to learn that the person we have elected to take care of the well being, security and economic prosperity of Tanzanians is a mere passenger in this situation. It is clear that the threat has been there since the attacks of different religious leaders in Zanzibar and Geita. The government has Police, National Security,Army intelligency in their arsenal to deal with culprits. But what we have seen is sluggish and weakened response to the various attacks so far.
Further weakness is seen in the way our disciplined forces dealing with some cases which are exaggerated with number of serious charges and at the end the judiciary find them to be wrongly charged ending with minimal sentences. Refer the cases of Sheikh Ponda, Lwakatare and G. Lema.
The gorvenment should know that it has a mandate to make Tanzania secure and safe. It is not a favour but obligatory responsibility given to them and paid for by us the tax payers.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom